Ndugu wana jamii,najua hapa inaweza kuwa sio mahali pake lakini naomba nitumie jukwaa hili kuleta kwenu habari ya kusikitisha sana na inayohitaji suluhisho la haraka sana kutoka serikali ya...
Jana kulikuwa na mjadala na kuwataka waislam kuacha kwenda liliondo. walisema hio ni dawa ya kiini macho. walisema kama kuna mtu amepowa kwa dawa hiyo ajitokeze waziwazi kabla ya kupoa akiuumwa...
Wakuu nilikuwa napitia pitia katika blogu mbalimbali nikabahatika kuangukia kwa inayoitwa blogu ya jamii ya Muhidini Issa Michuzi. Nimeshangazwa na habari picha nilizoziona zikionyesha mikutano ya...
Kuna Makala moja ya kiuchunguzi ilichapishwa katika gazeti la the citizen na kuwekwa kwenye mtandao kuhusu tohara kwa wanaume inavyoweza kusaidia kupunguza maambukizi ya UKIMWI.
Hata hivyo baada...
Sheria za kupata viza za wanafunzi nchini Uingereza zinatarajiwa kuwa ngumu zaidi- baada ya kuibuka wasiwasi kuwa mbinu za kuingia nchini humo kwa minajil hiyo hutumiwa kiudanganyifu
Waziri wa...
na Stephano Mango, Songea
VIJANA wasomi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezindua rasmi kampeni ya Washa taa mchana itakayopitishwa nchi...
Polisi 'vinara' wa daladala mbovu
Geofrey Nyang'oro
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewashtaki askari wa Jeshi la Polisi kwa Rais Jakaya Kikwete ikidai kuwa...
Ninawaomba viongozi wa dini msichoke kuombea na kuhubiri amani ya nchi yetu na upendo miongoni mwa wananchi wake.Jambo kubwa la kusisitiza hapa ni kuwataka watu wasibaguane kwa...
Naomba kuelimishwa,
Nimeuliza hilo swali hapo juu kutokana na tukio lililojitokeza nikiwa kwenye dala dala hapo jana.
Tukiwa kwenye dala dala ghafla simu ya mzee mmoja wa makamo ikaita.
Mlio wake...
Polisi 'vinara' wa daladala mbovu Send to a friend Wednesday, 23 March 2011 21:28 0diggsdigg
Geofrey Nyang'oro
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewashtaki askari wa...
Asubuhi nikiwa naelekea kazini, nikaona magazeti mengi tu moja wapo likanivutia na gazeti hilo ni RISASI nikaona KIAMA nikataka kujua kulikoni??????????
Niliyoyakuta huko ndani wana JF huwezi...
Hasara kubwa tutakayo ipata Tanganyika ikiwa Wa Zanzibari watajitenga ni mafuta yao ambayo mpaka sasa tunalazimisha kuwa ni ya Muungano wakati mapato ya madini yetu huku bara hata senti tano...
nina furaha kuwajulisha wadau wenzangu hapa Jf kua ule mti ( mugariga) babu anaotaja kutumia ktk tiba yake akiambatanisha na maombi ulishafanyiwa utafiti huko kenya miaka ya nyuma kwa kule hautwi...
So when your moods take a nose dive, don't do any thing just think! And wait! And of course fill your mind with prayer and postive thoughts. You will master your moods.
And it will make the...
hi guyz,
two months ago i came across a blogsite: The Mikocheni Report and ever since, i feel like i have missed sumthin really good if i don't visit that blogsite at least once during the day...
Kiukweli polisi mjini wanazidi kuonesha mfano kwa polisi wengine leo tena wamefanikiwa kufanya mauwaji ya majambazi mawili likiwepo jambazi paul gilioma.habari zaidi nitazimwaga kesho baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.