Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sex video shocker Anwar gesturing during a press conference at the PKR headquarters in Petaling Jaya to counter claims about a sex video. — ROHAIZAT MD DARUS / The Star...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa najiuliza nini maana ya nchi zilizoendelea, na nini maana ya nchi zinazoendelea? ni wapi hasa tunakosea, wapi tuelekeze nguvu zetu kufikia maendeleo ya kweli? wewe km great thinkers...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lipumba: JK atamaliza urais vibaya Send to a friend Sunday, 20 March 2011 21:04 0diggsdigg Burhani Yakub,Tanga CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema Rais Jakaya Kikwete atamaliza muda wake akiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Babu Abdallah Kifo (67) amemuomba mkuu wa nchi na serikali yake imsaidie kumsaka kijana aliyemkata sehemu zake nyeti ili aweze kumfikisha kwenye mamlaka husika. Akizungumza mbele ya Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Asante mkuu wa nchi. Nakumbuka usemi wa mzee mmoja ambae alisema" atakachosema mkuu wa nchi hadharani kugeuka kama sheria" . hivyo basi tunaomba TANROAD , watendaji wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshuhudia baadhi ya waandishi wa habari wanaokuja wilaya ya Tandahimba wakilipwa Posho na Halmashauri ya Wilaya hiyo. Tena hupewa posho zaidi pale wanapotaka kubalance story ambazo zinawagusa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SERIKALI: STUDIO YA JK NI YA WASANII WALIYOIOMBA Mwakilishi wa Kampuni ya Fleva Unit ambayo ndiyo imekabidhiwa studio ya kurekodia muziki (Mastering Studio) na Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unaposema tanzania it means unaijumuisha na zanzibar ambayo sasa hivi wengi ya watanganyika ndio wamegundua kuwa ni nchi yenye mipaka yake. Sasa hivi kuna mjadala wa katiba,katika mijadala...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wama Jukwaa naombeni msaada Panya wamevamia nyumba yangu mwezi wa tano huu. Nimejaribu sana kupambana nao kwa namna zote imeshindikana kabisa. Mwanzoni nilijaribu kuwauwa kwa sumu. Kwa hakika...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
MJI wa Maswa jana uligeuka uwanja wa mapambano baina ya wananchi na polisi, huku risasi, mabomu ya machozi na mawe vikitumika kama silaha baina ya pande hizo. Polisi walitumia risasi na mabomu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kweli Mbeya kuna Upako!! Mwakasege katokea Mbeya. Lusekelo Mbeya, Bukuku Mbeya, Ambwene Mbeya, Mwaitege Mbeya, Mwakyembe hukohuko, Babu Ambilikile naye Mbeya! Sasa sijui na Yesu naye atakaporudi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ktk hali isiyokuwa ya kawaida diwan mmoja wa kimara akishirikiana na weneyekiti wa vijiji wamewaumbua wakubwa wa manispaa ya kinondon pale walipoambiwa kuna million kumi zilitolewa kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ijumaa mida ya saa tatu asubuhi maeneo ya Wizara ya nishati na madini king'ola kinakuja kwa mlio wa kasi mara makachero wa usalama wa taifa wanawalazimasha wafanyakaz wa wzr na tanesco kumuimbia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
funika kombe mwanaharsamu apite. usemi hiuu unadhihirika kaitika media ya Tz kwa sasa. watu tunapata umeme twente foo awaz na hatuambiwi nini kimefanyioka. mvua za masika zimenyesha na kujaza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
http://www.careerbuilder.co.uk/Article/CB-332-C-V-s-and-Covering-Letters-Words-that-Sabotage-Your-CV/?cachebypass=$Y&lr=int_ukyahoo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha Kibuta wilayani hapa, Bw. Abdallah Kifo (67) ameiomba serikali kumsaka kijana anayetuhumiwa kumkata sehemu zake za siri ili achukuliwe hatua za kisheria. Akizungumza mbele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikia kuna foleni ya magari kwenda kwa Babu lakini nasikia pia kuna Watu wanaenda na Helikopta, naomba kujua kama kuna foleni ya helikopta?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijaribu, kwa mara nyingi tu, kufuatilia waalifu ambao wamekuwa wakisumbua raia (micro and macro thieves) na kutaka kujiridhisha ha hatua madhubuti zinazochukuliwa na jeshi la polisi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Monday, 21 March 2011 CHAMA cha Wananchi (CUF) wilayani Kwimba, kimewaponda viongozi wa Chadema kwa uchochezi na kumpongeza rais Jakaya Kikwete kwa kuongoza nchi kwa amani.Pongezi hizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wandugu, Hako ni kaswali ka kizushi tu. Huyu mheshimiwa naona ameanza tena kutembelea wizara na kutoa maagizo kwa waziri mbele ya watendaji wake. Ninachojiuliza ni je, kwani kwenye vikao vya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom