Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Zaidi ya mia nne ya walio kuwa wafanyakazi wa kiwanda cha nyuzi kilichoko mkoani Tabora wamepoteza ajira zao.. source: tbc1
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dr. Mwinyi Vuai Nahodha Shein Maalim Seif Bilal SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!! Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini. Duh, nyie kweli noma. Watu tusiseme ukweli?
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Katika write up za research kuna goal (broad objective) na Objectives (specific/narrow objectives), kuna rafiki yangu kaniuliza nini goal ya maisha yako unayotaka ku-fullfill? nime-stuck naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii ni kweli CCM ilitakiwa kufutwa kwa mujibu wa katika ya jamhuri wa Muungano wa Tanzania ibara ya Ibara ya 20-(2) Bila kujali masharti ya ibara ndogo ya (1), haitakuwa halali kwa chombo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
This is to say hi to all JF members. I appreciate the hot topics and up to date discussions in this forum. Keep it up!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kweli sasa Tanzania imedoda, Umeme mgawa na walisema hakuna mgawo tena, pia maji ya shida hayatoke tangu friday na nipo hapa upanga area. je hii kweli ni Tanzania na huku mitaani kukoje, HAPA NI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heshima mbele wakuu nikiangalia yalotokea ivorycoast maraisi 2 kujiapisha na kuunda mabaraza 2 ya mawaziri ndani ya nchi moja kweli afrika kuna vituko na wamechoka na serikali ya mseto. kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
lakini ingekuwa wakristo. wangestakiwa kwa sheha. wanapiga kelele. si mnaonaga kama mtu anauza kanda za mimbo za dini vile wanalalama anapiga kelele mtaani? halafu anaamuriwa apunguze sauti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Zitto adai amelishwa sumu Saturday, 11 December 2010 21:04 Fredy Azzah na Fidelis Butahe MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ambaye jana...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
na Betty Kangonga na Bakari Kimwanga CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetakiwa kuchukua hatua za haraka kutatua mapungufu yaliyojitokeza visiwani Zanzibar wakati wa kipindi cha uchaguzi vinginevyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipeni mawazo yenu wadau,
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sarafina ni Filamu iliyotengenezwa mwishoni mwa miaka ya themanini ikionyesha (depict) hali ya matarajio ya kuvunjiliwa mbali kwa mfumo wa Kibaguzi nchini Afrika ya kusini. Filamu hiyo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
SAKATA LA WANA-CCM, KANISA KATOLIKI: Mapadri nao kutengwa Imeandikwa na Peti Siyame, Sumbawanga; Tarehe: 11th December 2010 @ 23:59 UPEPO sasa unaelekea kuwageukia baadhi ya mapadri wa Kanisa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa mara ya mwisho kuhusu ATCL tumeweka kesi yetu wazi kwanini kuiharakisha kuruka tena na kuimwagia mabilioni ya fedha siyo tu ni kukosa hekima, lakini ni hatari pia kwani uamuzi huo umefikiwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hivi jamani nisaidieni, mimi ni mwanachama makini wa chadema lakini nimekuwa nabanwa kwa hoja na wapinzani wetu Cuf na CCM eti wabunge wetu wa kuteuliwa ni ndugu, girl friends, jamaa wa viongozi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna mjadala unaendelea TBC kama Je Dar es salaam bila dalali inawezekana??(Dalali wa nyumba za Kupanga) kila mtu ana mtazamo wake lakini binafsi mimi naona hawa local Brokers ni tatizo sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
IMF Executive Board Completes First Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania Press Release No. 10/468 December 3, 2010 The Executive Board of the International Monetary Fund...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri mpya wa mawasiliano na uchukuzi ameahidi kuuchunguliwa uongozi mzima wa ATCL kwa minajili ya kuwaengua watendaji mamluki ambao ndiyo wanankwamisha utendaji wa shirika hilo la umma la ndege...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mnaosafiri iwe kwa mabasi au usafiri binafsi muwe makini sana barabarani hasa kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka na mwaka mpya kwa kuwa kihistoria kila mwaka inapofikia wakati kama huu ajali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dk Magufuli awawashia moto Tanroads Saturday, 11 December 2010 20:59...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom