Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kwa heshima na taadhima naomba kutumia nafasi hii kutoa shukrani zangu za pekee kwa JF members wa Arusha kwa ukarimu wao. Nimefarijika sana kukutana ana kwa ana na watu ambao pengine sikuwahi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Wafanyakazi Tazara waanza mgomo Tuesday, 14 December 2010 20:57 Jackson Odoyo ZAIDI ya wafanyakazi 1,000 wa Shirika la Reli ya Tanzania na Zambia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Happy Lazaro, Arusha KATIBU wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) aliyetauliwa na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba, Abdulkareem Jonjo, amehukumiwa kifungo cha siku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
POLISI Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, imefanikiwa kuokoa mifugo kadhaa iliyokuwa imeibwa katika kaya za Daudi Wankuru na Marwa Mihinda wanaoishi Nyakarima kata ya Ganyange, mkoani Mara. Polisi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MARA nyingi tumekuwa tukishuhudia baadhi ya wafanyakazi wa kampuni au viwanda wakiingia katika migomo na migogoro kutokana na madai ya kutaka kuboreshewa haki zao mishahara ikiwemo. Migomo hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amesema kamwe hatakubali kuona mwanafunzi aliyefaulu darasa la saba anashindwa kwenda shule ya sekondari kutokana na kukosa ada. Lema amesema atahakikisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa rwanda mh Kagame ameanza kutekeleza lile swali waliokuwa wakijiuliza wakati akijibu kuhuusu afya za vijana wake na maendeleo ya ukimwi..akiongea kama utani mh rais amesema amefanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni vita ya wazamani, wapya yaiva Tanesco Monday, 13 December 2010 23:43 Mwandishi Wetu BAADHI ya watendaji wa ngazi za juu ndani ya Shirika la...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
VIGOGO kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) wametajwa “kuingilia” Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), MwanaHALISI limegundua. Taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya idara hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi ofisi ya rais na utawala mbovu, Mathias Chikawe amedhibitisha wazi kuwa viongozi wetu ni wezi na waongo wakubwa. Chanzo, Raia Mwema tarehe 8, Dec
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumeona makampuni ya simu kubadili majina kwa mfano airtel ilikuwa celtel ikaja zain kisha sasa tuko na airtel. maneno mengi mitaani yanadai ni kukwepa kodi. je ni kweli? na kama ni kweli inamaana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je kuna Mtanzania au mtu yeyote katika dunia hii ama iliyopita anayependa UMASIKINI na MARADHI au afya mgogoro na alosto? Au kuna Mtanzania asiyependa leo hii kutajirika na kuwa na afya njema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii ni kweli CCM ilitakiwa kufutwa kwa mujibu wa katika ya jamhuri wa Muungano wa Tanzania ibara ya Ibara ya 20-(2) Bila kujali masharti ya ibara ndogo ya (1), haitakuwa halali kwa chombo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
UPATIKANAJI wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchinio, bado ni tete na jana wanafunzi kadhaa walivamia ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi jijini Dar es Salaam wakilalamikia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF, nimeisoma habari ya mama aliyejifungua watoto watano kwa mara moja mwili wote ukasisimuka nikajua kweli hayo ni mapenzi ya Mungu lakini zaidi sana mimi binafsi ningetamani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumezuka system ya Bodi kuendelea kufanya kazi huku zinaisha muda wao..tumeona Bodi nyingi zilizoua makampuni yetu zimekuwa zikiachwa kuendelea bila kujulikana nini kinaendelea..hivi karibuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
JF inajitanabaisha ya kwamba "It is a home of great thinkers".. Lakini hili limekuwa si kweli kutokana na ukweli kwamba, kuna watu wanatoa maoni, hoja na ushauri wa kipuuzi kabisa. Ingawa si...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi, kati ya mambo yote Rais wetu hufanya na kutoa tuzo hatuna tuzo fulani ambazo tunaweza kuwapa wasanii wetu na kuwatambua kwa mchango wao katika kuendeleza na kudumisha utamaduni wetu? Watu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Daniel Domscheit-Berg, who left the site after disagreements with its founder, plans to launch Openleaks in the coming months. The technology, which can be embedded in any organisation's...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Kuna baadhi ya watu hupenda kufanya mambo ili kuwaudhi au kuwakirihi wengine kwa kujifurahisha nafsi zao. Watu hao hufanya kila mbinu kuhakikisha kama mtu wanaemkusudia kumkirihi anakosa haiba na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom