:angry:Tusaidieni wataalamu wa mipango miji na wahandisi, je ilikuwa sawa EPZ (EXPORT PROCESSING ZONES) kujengwa pale external/jirani na Mabibo hostel? km kweli tunampango wa kweli kupunguza road...
Neno la uzima 2010
nawajua walio wangu..haya ni maneno kutoka kwa bwana yesu
je wewe uko wapi ...wapendwa katika bwana nawapongeza wote mlioshiriki katika mijadala mbali mbali jamvini kwa wale...
Jamani naombeni msaada wa mawazo.
Nimefanya kazi kwa muda mrefu na mwajiri wangu huyu wa sasa.
Hivi karibuni nikapata wazo la kwenda nssf kuangalia michango ambayo kwa mujibu wa salary slip...
POLISI jijini Dar es Salaam inawashikilia watu watatu akiwemo mmoja ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 60 jela, wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliopora silaha ya askari.
Kamanda wa Polisi...
KATIKA hali yakushangaza jana washitakiwa watatu katika kesi ya unyanganyi wa kutumia silaha, wamefanya kioja cha kufungia mwaka kwa kuchukua maamuzi ya kuvua nguo kupinga hukumu iliyotolewa...
KAMPUNI ya Majembe Auction Mart imepewa jukumu la kusimamia kuhakiki kumbi zilizopo jijini Dar es Salaam, ambazo hazijasajiliwa zitafungiwa.
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) lilitoa tamko hilo...
Mengine yanatembelewa na watu wengi sana, wanachangia na kutoa hoja mbalimbali,
mengine hayatembelewi na hayachangiwe.
Je wewe unapenda kutembelea na kuchangia majukwaa yepi?
Uganda. Kwa Museveni.
Dah!
Maza anaitwa Faridah.
Mumewe yuko selo. Omar Awadh Omar
Ishu ya mabomu ya kombe la dunia.
Mumewe ni 'mwanaharakati'
Mwanaharakati wa al-Qaeda...
NOVEMBA 5 mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilimtangaza Dk Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mshindi wa kiti cha urais katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 31.
Kutangazwa huko kuliashiria...
NILIPOKUWA namsikiliza na kumwangalia Rais Jakaya Kikwete akilihutubia bunge mara baada ya kushika wadhifa huo, Novemba 18, mwaka huu sikutegemea lolote la ajabu lakini ghafla utulivu wangu...
UKURASA mpya umeandikwa katika vyombo vya aamuzi kwa ongezeko la vijana wawakilishi, tofauti na chaguzi za awali. Kupata wabunge vijana wa kuchaguliwa takribani 15 (CCM (4), CHADEMA (8)...
ALHAMISI, Desemba 9, mwaka huu, Watanganyika tuliadhimisha kumbukumbu ya miaka 49 ya uhuru wa nchi yetu Tanganyika ambayo kwa sasa haipo katika ramani ya uso wa dunia.
Zilikuwa sherehe za...
Msingi wa mgawanyiko wa udini Tanzania ulijengwa kwenye ilani ya CCM mwaka 2005? chairman wa CCM asitafute mchawi wa chanzo cha mgawanyiko wa udini Tanzania. sijui km nipo sahihi wana jamii nisaidieni
Kumbe laptop tunazotangaziwa nikanyabwoya!!unatakiwa ukafungue akaunti katika benk ya ABC Bank then upeleke mshahara wako uwe unapita pale ili wakukate makato ya kompyuta utakayokuwa...
Leo waziri wa uvuvi na mifugo alitembelea soko la samaki la kimataifa la ferry maeneo ya Kigamboni na kuwalalamikia wakaanga samaki kuwa harufu na moshi wa samaki unamkera sana maana unawanyima...
Issue No 008, Dec 2010
Dear Iteitei Lya Kitee,
Welcome once again to this edition of our electronic bulletin of the Tanzania Corruption Tracker System.
In this edition, we carry a number of...
Hivi mtu unapotoka ngazi ya junior membe hadi kufikiangazi ya juu kama JF SeniorExpert Member hauhitaki kujipongeza ikiwa ni pamoja na kupongezwa na wanaJF wengine? Maana nilichogundua ndani ya JF...
MKAZI mmoja wa wilaya ya Nzega mkoani Tabora ameuawa na wananchi baada ya kuwakimbia polisi waliokuwa wamekwenda nyumbani kwake kumpekua.
Upekuzi huo ulikuwa unafanywa baada ya kuwapo kwa...
Mwanzoni mwa mwaka huu, Mtabiri Maarufu Duniani, Africa Mashariki na kati,kusini mwa janqwa la sahara na America Shekh yahaya Husein aliwatabiria laivu wasanii wa original komedi ya tbc1 kuwa...
Chinese customs officials in Shenzhen have caught 14 housewives trying to smuggle 88 iPads and 340 mobile phones from Hong Kong into China, worth around US$143,000. One of the women had 85...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.