Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
WANAFUNZI wanaokadiriwa kufikia 100 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), jana waliandamana hadi Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Christmas Day[is a holiday observed generally on December 25th to commemorate the birth of Jesus, the central figure of Christianity.The date is not known to be the actual birthday of Jesus, and...
0 Reactions
0 Replies
518 Views
HUKUMU ya kesi ya kuendesha gari kwa uzembe na kusababisha vifo vya watu wawili inayomkabili aliyewahi kuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, imeahirishwa hadi Desemba 29, mwaka huu. Kesi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
POLISI wa Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, wanamshikilia mkazi wa Kijiji cha Tagota wilayani Tarime mkoani Mara, Nyamanosi Magaigwa (78), kwa kukutwa na vifaa vya kukeketea wasichana na akiwa katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MUUZA duka John Vincent (16), mkazi wa Mchikichini Bondeni, Ilala, Dar es Salaam amejinyonga kwa kutumia shuka alilokuwa amelitundika kwenye nondo ya dirisha ndani ya duka hilo kwa madai ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ilikuwa siku ya huzuni kwa kumuaga mwanamziki aliyekuwa kipenzi cha wengi hasa katika nyimbo zake zenye ujumbe mzito! hakika Mungu amlaze mahali pema peponi Amen! je wewe kama Mpenzi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Life Expectancy With HIV Increases Dramatically A 20-year-old HIV-positive person starting antiretroviral (ARV) therapy today can expect to live, on average, to the age of 69, according to new...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Kuna taarifa kuwa Jiji la Dar es Salaam litapata TUZO MAALUM hivi karibuni kwa Kuwa JIJI CHAFU ZAIDI DUNIANI. Furaha Iliyoje.....
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni msimu mwingine wa Xmass ,unaoambatana na na Dunia YA kIKRISTO na wasio wakristo kuingia katiaka kipindi cha pilka 2 nyingi.Wfanyabiashara nao ndio msimu wa Mavuno! ......Lakini nimekuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku kama ya leo mwaka jana ndipo nilijiunga na JF kwa mara ya kwanza. Ninapenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru wanaJF wote kwa upendo na uvumilivu mkubwa mliouonyesha kwangu katika kuchangia...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
MCHUNGAJI wa Kanisa la Gospel Revival Centre, Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, ameishukia serikali na Idara ya Usalama wa Taifa kwa kukumbatia zaidi madhehebu ya Katoliki na Lutherani...
0 Reactions
126 Replies
18K Views
The founder of whistle-blowing website Wikileaks, Julian Assange, has been granted conditional bail by a judge. The 39-year-old was granted bail in London earlier this week but...
0 Reactions
2 Replies
965 Views
HUWA ninaguswa kwa namna ya pekee na matukio yanayoashiria kuibuka kwa migogoro isiyo na kichwa wala miguu ndani ya vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini. Mguso ninaoupata kutokana na hali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu leo nimepata habari kutoka kwa marafiki zangu zaidi ya wawili kwamba wamesikiliza habari asubuhi kwamba Tz inaplan kutoa noti mpya zikiwemo z tsh 15000 na 20000 if this is true wataalam wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HabariLeo | Pacha wawili wafariki dunia
0 Reactions
0 Replies
969 Views
I have been shocked with the killing of a young boy who was a pupil at Nyampulukano primary school located in township of Sengerema district in Mwanza. The boy was in standard six. The incidence...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Quit Guide: Quitting Managing Cravings: When you really crave a cigarette Remember: The urge to smoke will come and go. Try to wait it out. Or look at the plan you made last week. You wrote down...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Nimekuwa nikerwa na Tanesco kwa kitendo chao cha kukata umeme bila taarifa. hii inahusisha wakati wamepanga matengenezo hivyo sio dharula. Ni mara nyingi tunaaribikiwa na vitu lakini naona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ZIARA YA DR. BILAL PHILIPS NCHINI TANZANIA Dr. Bilal Philips (Dr. Abu Ameenah Bilal Philips) mzaliwa wa Jamaica na raia wa Canada atawasili Dar es Salaam, Tanzania, Ijumaa ya Desemba 17, 2010...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nasikia vyandarua ivi vya bure vimewekwa dawa ambayo inalast 5 years. Inasemekana kama ukifua maji usimwage nje au kwa mimea bali mwaga chooni bse viumbe hai vyaweza zurika. Kama ni kweli jamani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom