WALIMU wakuu wa shule tatu za msingi za jijini Mwanza wamevuliwa nyadhifa hizo kutokana na kukiuka taratibu za usajili wa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu.
Hatua hiyo ni moja ya...
Jamani wanaJF, natoa wazo kuwepo kwa shindano la kumtafuta JF Star Search aka GREAT THINKER (GT)
Mfano, labda atafutwe kila mwaka au kila baada ya miezi 6. Na vigezo viwe kama
- Katika kipindi...
WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na shitaka la unyanganyi wa kutumia silaha.
Washitakiwa hao ni Seif Jumanne (20), mkazi wa Mburahati...
WAZEE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Kigoma, wametaka kurejeshwa kwa amani ndani ya chama hicho baada ya kubaini kuwa, hali kwa sasa si shwari na kusisitiza ni dhahiri...
Mkakati wake wa kwanza ni kuivuruga UVCCM
Akifanikiwa ataanza kupanga safu uongozi Wazazi, UWT
Awaita Dar kimya kimya wenyeviti wa mikoa wa UVCCM
WAZIRI katika Baraza la Mawaziri la sasa ambaye...
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo...
KAMA Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ina nguvu kweli ya kutoa uongozi wa chama kama ilivyofanya na kuchukua misimamo ya masuala mbalimbali hivi juzi ninaamini inahitaji...
Hakika nchi hii ya JK ina mambo mengi kutoka ndani ya serikali yake.Mamlaka ya hali ya hewa ni wakala wa serikali kama zilivyo TRA,TCAA,TAA na nyingine nyingi tu.Kwa kawaida serikali au wakala...
Utajisikiaje ukiwa umeongozana na mdogo wako uliyemzidi miaka kama 8 hivi, mnaenda sehem mnakutana na watu tofauti lakin cha ajabu wakimuona dogo lako wanamwamkia SHIKAMOO Bro, anapewa na kiti...
Mnigeria aliyelowea nchini Poland miaka 17 iliyopita na kuoa mwanamke wa Poland, amekuwa mbunge wa kwanza mweusi katika historia ya masuala ya siasa nchini Poland.
John Abraham Godson, alizaliwa...
Dogo,
Tambua kuwa hukuwa na hati miliki ya Ubunge ambao ulikupa Uwaziri. Mara tu baada ya Kubwagwa kwa sauti ya UMMA unapaswa kutambua kuwa maana yake HAUSTAHILI hata kwa sekunde kuendelea...
ARDHI University will on Saturday mark another milestone in the countrys education profile when new six degrees in different science disciplines will be awarded.
The Vice Chancellor of Ardhi...
DOTTO Manyinyi (40), mkazi wa Kijiji cha Kitalamanka, Kata ya Sazira wilayani hapa amekufa kwa kujinyonga baada ya kugundua kuwa ana ukimwi.
Habari zilizopatikana kutoka ndani ya Jeshi la...
WA T U k u m i w a n a o s a d i k i w a kuwa majambazi wamemuua kwa risasi mfanyabiashara mmoja na kujeruhi wengine kadhaa katika kata ya Buselesele wilayani Chato, mkoani Kagera kisha kuwapora...
Nina wiki tatu sasa sijapata HAJA KUBWA.
Kula nakula vizuri lakini vitu havitoki
Nikienda toilet kila nikilazimisha, KUBWA haitoki
Nimekula mapapai hadi natoka kitambi lakini sinyi.
Nifanyeje?
BURIANI DK REMMY ONGALLA
NILIKUWA NA PRESSHA ASBH YA LEO GAFLA NILIPOONA BURIANI NA PICHA YA MZEE WETU MAKASSY NIKASEMA MZEE NAE KAMFWTA MJOMBA REMMY AMA ..KABLA YA KUSOMA CHINI
AHASANTE KWA...
Wakuu I need some help in converting MKV files into AVI urgently. Have tried to google lakini naona kunakuja solutions nyingi nyingi of which sielewi which is which na pia I am concerned na safety...
Dakika kama tano zilizopita kuna tukio la kijambazi limetokea ambapo majambazi wamempiga risasi na kupora mtu pesa ambazo hazikujulikana. Ni hatari na eneo limezizima kwa muda sasa, huduma zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.