Gwynne Dyer
ALL the foreigners and about half the Ivorians agree that Alassane Ouattara won last months presidential election in Ivory Coast but not the southerners, who say that it was...
Jamani watanzania wenzangu labda mnisadie kunifahamisha hili huenda ufahamu wangu ni mdogo. Mfano mdogo tu, serikali ya Mkapa ilijitahidi kugawa magari ya wagonjwa ktk kila zahanati za tarafa...
"Siku zile amri ilitoka kwa kaisari Augusto kwamba iandikwe orodha ya watu wote wa ulimwengu" LUKA 2:1, Hii ina maana kila mtu alipaswa kurudi uyahudi kuhesabiwa.Yusufu na Maria nao wakatoka...
Mzee wangu simuelewi kabisaaaaa. Mwaka wa 4 huu amekuwa akinisisitiza nitafute mwanamke mwenye sifa zifuatazo :-
- Awe na elimu isiyopungua form six, na kama ana six awe na mpango wa kusoma zaid...
An Emirati man walks past an 11-million-dollar Christmas tree at the Emirates Palace hotel
The tree holds a total of 181 diamonds, pearls, emeralds, sapphires and other precious stones...
Bosi mwenyewe ni mtoto wangu .
yahani anakula raha kweli kweli
akilia familia nzima tunatafutana
TV ikipasndishwa sauti nasikia kuwa 'Bosi' ataamka mara tusiongee sana bosi ataamka
akiamka...
WanaJF leo nilikuwa napita mtandao wa globalpublishers.com nikaakutana na picha ya Maimartha wa Jese akiwa anakwenda Muhimbili hospital kulingana na maelezo ya picha kujiridhisha kifo cha...
MWALIMU wa Shule ya Msingi Pemba, Edmund Kadudu iliyopo katika Kijiji cha Pemba, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, ameelemewa na idadi kubwa ya wanafunzi wapatao 1,000 anaolazimika kuwafundisha...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amemjia juu mmiliki wa kiwanja cha Palm Beach kwa kumtaka aende mahakamani haraka na kwamba haogopi vitisho.
Akizungumza...
Haya ni maoni yangu tu, nimeona niandike hivi kutokana na hoja zake za hivi karibuni coz watu walimdiz sana MZEE MWANAKIJIJI....
Kiukweli huyu jamaa ndiye alinifanya mimi binafsi nijiunge na hii...
VITA ya madaraka ya Umeya na Uenyekiti wa Halmashauri nchini, umezua balaa baada ya jana Mbunge wa Arusha Mjini, Gobless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujikuta akiswekwa...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa...
MSHITAKIWA wa kwanza katika kesi ya mauaji inayomkabili aliyekuwa Meya wa jiji la Mwanza, Leonard Bihondo, Oscar Jumanne (30) amedondoka mahakamani na kupoteza fahamu.
Mshitakiwa huyo...
By AUSTIN BEYADI, 18th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 102
Principal of International Medical and Technological University Prof Flora Fabian, has advised Tanzanians to respect...
From MARC NKWAME recently in Mpanda, 18th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 197
Authorities at Katavi National Park in Mpanda District are intrigued by periodical appearances of...
Please read carefully Pencil & Eraser Give us a Big Message.
Pencil: I'm sorry....
Eraser: For what? You didn't do anything wrong.
Pencil: I'm sorry cos you get hurt bcos of me...
Naomba kuuliza swali hili. Nina tatizo fulani najisikia vibaya pale tu ninapoona Tz kuna vyuo vikuu vingi, vingine vimeanzishwa na selikali, lakini vingine vimeanzishwa na watu private hasahasa...
Ndugu wana JF wakati mwaka 2010 unaelekea mwishoni sisi tukiwa ni great thinkers tuna yapi ya kujivunia kwan chi yetu (Tanzania) mwaka huu unaokwisha. Yapi yanaweza kutufanya tuuone mwaka huu kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.