Mpendwa mama tibaijuka
salamu katika jina la BWANA WETU YESU KRISTO ALIE HAI...kwanza napenda kukupongeza kwa speed uliokuja nayo ingawa baadhi inaishiaga kuwa nguvu ya soda kwa uweza wa mwenyezi...
Kwa miaka nenda miaka rudi, serikali imekuwa inapuuzia kukusanya kwa ukamilifu mapato yake, ikiwa ni pamoja na kutotilia maanani ufuatiliaji wa marejesho ya madeni yake. Kwa mfano, wadadisi wa...
ILE tabia ama tunaweza kuiita kuwa ni hulka iliyozoeleka kila baada ya uchaguzi mkuu unapokaribia na wakati wa mchakato mzima wa kampeni haishangazi kuwaona wagombea wakijisahau na kutoa shikamoo...
Wana JF naomba mnisaidie. naogopa ninapomkuta mwanangu wa miaka mitano akiwa na wenzake wanaimba wimbo wa alamba, alamba tena, kisha wanaoneshana kidole mithili ya kulamba. Kimaadili sijui huu...
Habari kutoka Muleba mkoani Kagera zinasema kuwa basi la abiria la kampuni ya ALLYS lililokuwa likisafiri kutoka Bukoba kwenda Dar-es -salaam limeungua moto na kuteketea kabisa.
Inasemekana tatizo...
jamani draw ndio hiyo hapo kazi kwenu hahahaaaa arsenal jamani poleni
Roma v Shakhtar Donetsk
AC Milan v Tottenham Hotspur
Valencia v Schalke
Inter Milan v Bayern Munich
Lyon v Real Madrid...
Tarehe 9/12/2010 Musiba alikula chakula katika hoteli ya MERR'Y HOTEL iliyopo Opposite na Zanzibar Hotel karibu na ofisi za channel Ten.
Baada ya chakula alijisikia tumbo linaanza kuuma na...
Shinyanga, Singida na Tabora, je kuna nini mpaka theluthi mbili ya watoto wa shule za msingi wameshindwa kufaulu mtihani wa darasa la saba?
Je Wabunge kutoka mikoa hii, mnatuambia nini sisi...
Natumaini hamjambo wana JF naomba wahusika haswa Waziri wetu mpendwa wa Ujenzi Magufuli mtusaidie sisi watumiaji wa barabara ya Mbezi tank Bovu hadi Goba-Kimara.
Kuna bango la TANROADS limewekwa...
katika siku mbili zilizopita, kuna tatizo ambalo limenitokea mimi na wateja wengine wa matandao wa tigo, inatokea unampigia simu mtu anapokea mtu mwingine ambae siyo yule uliyempigia (sio wrong...
Adelline, dada aliyefukuzwa kazi baada ya kuugua kidole tumbo ameshinda kesi yake dhidi ya Mzungu aliyejifanya yuko juu ya sheria.
Adeline alinyimwa haki katika mahama ya wilaya, lakini...
Jamani kwa walioangalia taarifa ya habari leo asbh
itv kuna diwani mmoja ameonyeshwa live akitangaza
kujivua udiwani kwa kusema amejitahdi kwa muda mchache akiarajia
msaada toka serikalini...
Waziri apokewa na mgogoro mzito TRL
Na Rehema Mohamed.
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamemtaka Waziri wa Miundombinu Bw. Omary Nundu kutoa ufafanuzi kuhusu Menejimenti ya...
Hatimaye ule wimbo wa Dr. Remmy Ongala uliopigwa marufuku miaka kadhaa iliyopita umerushwa hewani leo hii na Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast.................. Naomba mwenye lylics...
Hivi sasa bus la allys linaungua lilikuwa likitoka bukoba kwenda dar,limeungua lilip[ofika wilaya ya Muleba mkoani KAGERA.
Taarifa za awali ni kuwa hakuna aliyekufa ingawa kuna majeruhi kadhaa...
Kutokana na kusoma habari nyingi za Tido Mhando kufika ukomo katika chombo cha habari cha TBC nimeona mengi sana wapo wengi waliomsifu kwa jitihada zake na utendaji wake mzuri katika kipindi chake...
POLISI mkoani Mwanza Desemba 15 ilimshikilia kwa mahojiano Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (Chadema), kutokana na madai ya kutoa maneno ya uchochezi wakati alipohutubia wananchi hivi karibuni...
Rules set to outlaw annual house rent Sunday, 12 December 2010 10:38 digg
living in an estate such as this is a far-fetched dream for many warking-class people,even in cities like Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.