Nimefurahi kufika ktk jiji hili kwani nilikua nikilisoma kwenye ramani na vitabu.nimekubli jiji hili ni zuri la kuvutia,wenyeji wa jiji hli ni wasukuma but pia kuna mchanganyiko wa kabila...
MAANA rahisi ya uwepo wa vyama vya upinzani katika nchi yoyote ile Duniani, ni kuimarisha Demokrasia ya kweli na kuwashinikiza viongozi walio mabadarakani kuwaongoza na kuwatumikia wananchi.
Ni...
Jana gazeti hili lilichapisha habari iliyomkariri Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa akiiagiza Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kubadilisha mfumo wa utoaji mikopo, kwani mfumo...
WASANII mbalimbali wa kitaifa na kimataifa, viongozi wa serikali leo watauaga rasmi mwili wa mwanamuziki Ramadhan Mtoro Ongala, maarufu Dk Remmy Ongala.
Shughuli hiyo inatarajiwa kufanyika...
People deprived of sleep for long periods appear less attractive and more unhealthy than those who are well rested, say researchers.
Volunteers were photographed after eight hours sleep...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, imeelezea kukerwa na tabia ya kuahirisha mara kwa mara kwa kesi ya madai inayowahusisha wafanyabiashara maarufu jijini Reginald Mengi na Yusuf...
Uzuri wa Takukuru usiishie kwenye majengo ya kisasa
Imeandikwa na Mhariri; Tarehe: 15th December 2010 @ 23:59
KASI ya ujenzi wa ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini...
Pinda awatemea cheche wezi
Imeandikwa na Jasmini Shamwepu, Dodoma; Tarehe: 16th December 2010 @ 07:01
WATUMISHI wanaofanya kazi kwa malengo ya kuiba fedha za umma wametakiwa kujiengua kwenye...
KAMPENI ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ya kukusanya madeni yake yanayofikia Sh bilioni tisa, imeanza kwa kasi mkoani Dar es Salaam na kuacha wapangaji wake wakiwa hoi.
Baada ya kujikuta na...
Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mshauri wa Rais mstaafu Dk. Salmin Amour kwa masuala ya Michezo, Mohamed Raza, ameendelea kulumbana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph...
Wapendwa majuzi tumeona kwenye gazeti kuna vigogo kama kumi wamejilimbikizia vitalu vya kuvuna mbao uko sao hill kichekesho kila mtu ukimuuliza anasema alichukua kwa ajili ya kuvuna mbao za shule...
Evidence for the cure of HIV infection by CCR532/32 stem cell transplantation
Kristina Allers1,*, Gero Hütter2, Jörg Hofmann3, Christoph Loddenkemper4, Kathrin Rieger2, Eckhard Thiel2 and Thomas...
Habari zenu ndugu zangu,ktk pita pita zangu nimefanikiwa kugundua kua kiburudisho cha ugoro kimekua kikitumiwa na wazee watu kwa zaidi ya miaka mia,pia bidhaa hiyo imekua ikitengenezwa kiasili kwa...
jamani kama kuna siku nimeudhika ni leo , mtandao wa voda unakera sana tokea saa tatu asubuhi napiga simu haziendi inabidi nitumie mtandao mwingine kuwasiliana na watu wa voda hivyo unanizidishia...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ambayo iliwafanya wanasiasa kukosa usingizi wakati wa mchakato wa kura za maoni kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, wameibuka tena mafichoni na...
POLISI mkoani Arusha wamewakamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Rifle ikiwa na risasi 10 wilayani Longido.
Uchunguzi wa awali uliofanywa na jeshi hilo mkoani hapa...
Mwanamke mmoja kwa jina Shija Buswega wilayani kahama mkoani shinyanga amejifungua watoto watano. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana mwanamke huyo alijifungua watoto hao kwa msaada wa mumewe tu...
Mikopo Elimu ya Juu: Kama tunachangia, basi hatuna deni | Gazeti la MwanaHalisi
Mmekaona hako ka-adress, hebu kabofye uone utamu wake, but mind you ni kwa ajili ya wanafunzi tu walizulumiwa...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), imetikiswa na pigo la kisheria baada ya kukumbana na hukumu ya kutakiwa kumlipa mfanyabiashara wa Dar es Salaam mamilioni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.