Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ama kweli tukifanikiwa kuwa na akina sitta 50, akina slaa 10, akina magufuli 70, akina mwakyembe 80, na vyama makini km chadema viwili tu....taifa litakuwa limekombolewa...................lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WAZIRI wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta jana alitoa kauli nyingine inayoweza kukitikisa chama chake cha CCM baada ya kueleza kuwa aliondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha spika wa Bunge la...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
BONDIA Emillian Patrick aliyekamatwa nchini Mauritius Juni, 2008 kwa tuhuma za kuingiza dawa ya kulevya aina ya heroin zenye thamani ya shilingi milioni 600 amerejea nchini kuungana na familia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nasema hivyo kwa sababu hivi karibuni waziri wa nishati Willium Ngeleja alitutangazia watanzania kuwa mgawo wa umeme umeisha nchi nzima labda pale tu penye tatizo la kiufundi. Lakini bado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FARU mmoja kati ya watano waliopokewa na Rais Jakaya Kikwete kutoka nchini Afrika Kusini na kuingizwa kwenye mbuga ya wanyama ya Sengereti, ameuawa na majangili ambao wametoweka na pembe zake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwili wa kijana mmoja ambae hajafahamika umekutwa chini ya lift katika jengo la Posta House. Muda mchache uliopita wafanyakazi wa city wameweza kuutoa mwili huo ambao tayari ulishaanza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaribuni bahati zenu Mondi - Home Austrian Student Scholarship Mondi, Austria What we offer: Scholarships are awarded for basic university programs (university degree, bachelor programs)...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Wana JF Nimekuwa nikisafiri na boat za Abiria Dar/ZNZ, utaratibu unaotumika katika kupakia na kushusha mizigo ya abiria si SHWARI. Katika bandari zote mbili (DAR na ZNZ) kuna wachukuzi ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Accusations against Assange raise suspicion of political hand Monday, 20 December...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Leo nimeangalia kwenye taarifa ya habari channel ten kuwa kanisa la Mch. Rwakatare wanataka kuanzisha Television yao itakayoitwa Ebenezer Tv. Naona kila kanisa liko ize kuanzisha Tv kila kukicha...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Hatimaye kile ambacho hakiaminiki kule Serengeti ni kua kati ya wale Faru watano tuliokabiziwa kutoka Afrika ya kusini Faru mmoja ameuwawa kule katika hifadhi ya wanyama mbuga ya Serengeti. Faru...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KAMA KUNA SIKU NIMESHUHUDIA MADUDU YA WAANDAAJI WA BSS BASI NI JANA YAANI HAWAKUWA REALISTIC KABISA WALISHINDWA HATA KUDHIBITI NDIMI ZAO. TUMEZOA KUMUOANA MAADAM SALIMA AKICHEMKA KUPITA WOTE...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya tiGO ambayo imejizolea wateja wengi kuanzia mwaka 2005 baada ya kuanza kushusha garama za kupiga simu iko katika hali mbaya na huenda muda wowote ikafa na kuacha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Soma kwa hii link gongahapa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
GrEaT tHinkErs, Naomba tuzungukie majiji ya Afrika mashariki na tutuoe sifa kwa kila Jiji nimeyaorodhesha hapa chini. Tanzania DAR ES SALAAM MWANZA TANGA MBEYA ARUSHA kenya NAIROBI MOMBASA...
0 Reactions
29 Replies
25K Views
Wandugu, Naomba ufafanuzi wa jambo hili, je wabunge wa JMT hawana kinga ki sheria inapotokea kutoelewana na vyombo vya serikali na dola wakati wa kutimiza majukumu yao? yametokea juzi tu mbunge...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Jana nilihudhuria tafrija ya uzinduzi wa Mfuko wa maendeleo ya watu wa Arusha(Arusha Development Foundation) kwa Ajiri ya kusomesha watoto waliopatwa na matatizo ya kujiunga kidato cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Polisi Moshi katika kashfa ya ujambazi Send to a friend Sunday, 19 December 2010 20:25 0diggsdigg Daniel Mjema, Moshi POLISI wa kikosi cha pikipiki mkoani Kilimanjaro ni mshiriki mkuu wa tukio...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Monday December 20, 2010 Columnist...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya tiGO ambayo imejizolea wateja wengi kuanzia mwaka 2005 baada ya kuanza kushusha garama za kupiga simu iko katika hali mbaya na huenda muda wowote ikafa na kuacha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom