Watoto watatu wa familia moja katika Kitongoji cha Ikanamalenge, Kijiji cha Muhanga, Tarafa ya Itigi, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wakiishi...
:A S clock:
YouTube - Delia Knox Walking- Bay of the Holy Spirit Revival
Woman paralysed for 23 years stands and walks after she's 'cured by British spiritual healer'
Last updated at 1:59 PM on...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya udaktari duniani, daktari mmoja nchini India ameweza kuzizuia hisia zake kwa kuitumbua na kuvichanganua viungo vya maiti ya baba yake wakati akiwafundisha...
Wajameni naomba kuipongeza Mbeya Region (Municipal) na Arusha Council kwa kuona umuhimu wa egovernance
Na napenda kuuliza kwa nini municipals kama Moshi, council kama za Mwanza na kwingineko...
Mwizi wa nchini Japan ambaye kutokana na kufanya wizi kwa mwaka alikuwa akijiingizia kiasi cha pesa sawa na Tsh. Milioni 540 ametoa kitabu cha kuelezea jinsi ya kuiba kwenye majumba ya watu bila...
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, ataendelea kutumikia kifungo cha miaka miwili jela kama alivyohukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Mwanaume mmoja wa nchini Kongo ambaye alikuwa na matatizo ya mtindio wa ubongo, amembaka mama yake na kisha kumuua.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa katika mji wa Kasai, Jamhuri ya...
Katika kesi ya tatu ya kuteswa kwa wafanyakazi wa ndani katika nchi za kiarabu, mfanyakazi wa ndani nchini Jordan anapatiwa matibabu baada ya kulazimishwa kumeza misumari sita na bosi wake.
Ndani...
Nguo za ndani za mitumba zitapigwa marufuku nchini Ghana kuanzia mwezi februari mwakani.
Wapenzi wa viwalo vya ndani vilivyotumika majuu nchini Ghana wana miezi michache ya kununua viwalo vyao...
MFANYABIASHARA wa nyama na mkazi wa Daraja Mbili jijini Arusha, Lucas Laiser anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35, amekutwa akininginia katika bucha lake la nyama baada ya...
Wana JF, kipindi hiki cha sikukuu watu wanatembeleana sana majumbani. Ktk nyingi nimejionea kitu kimoja kikubwa. Utakuta nyumba ina mlango wa mbele, ambao kimsingi ukiingia hapo utaanza kuingia...
UONGOZI wa juu wa Jeshi la Magereza nchini unakabiliwa na kashfa ya matumizi
mabaya ya fedha kupitia miradi yake ambapo sasa imebainika kuwa zaidi ya Sh bilioni
mbili zimetumika katika...
Kwa wanaofuatilia siri zinazoendelea kufichuliwa na mtandao wa wikileaks hasa zikionesha ripoti zinazotumwa na mabalozi wa marekani waliopo katika nchi za kigeni kwa nchi yao,wataklubalina na mimi...
Kwa mujibu wa radio one majambazi yapatayo saba yameteka kijiji cha Katunguru huko Sengerema kwa zaidi ya saa 3 bila ya upinzani kutoka kwa wananchi wala polisi waliokuwa kituoni kwao zaidi ya...
Wandugu salamu
Nimepewa nyepesi kuwa Dar Express litokalo Ar kwenda Dar limewaka moto na kulazimu watu kuruka kwa kupitia madirishani. Mlioko huko tupeni habari kamili. We hope hakuna madhara...
Watu sita wamekufa kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Mbeya kwenda wilayani Makete kupinduka na hatimaye kuwaka moto.
Tukio hilo lilitokea...
NYIMBO za furaha na vigelegele vilivyosindikiza safari ya kwenda kuoa, vimegeuka vilio baada lori walilokuwa wakisafiria kupinduka na kusababisha vifo vya watu wanane papohapo, huku wengine 91...
Defence giant BAE Systems is due to be sentenced for failing to keep proper records of payments to an adviser in the east African country of Tanzania.
Payments totalling about...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.