Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani kuna vitu vya ajabu huwa vinatokea. Sasa sijui ni kwa tigo pekee au na mitandao mingine. A friend of mine ingekuwa sio kutumia busara ilibakia kidogo tu ndoa iote mbawa. Alimpigia mkewe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Credibility, watu wanaonidai na wale wanaohitaji msaada wangu wanaona kuwa nimewazimia simu kukwepa kutimiza wajibu. Ukweli ni kwamba connection hamna, network kwenye screen inaonekana iko full...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
MKUU wa Shule ya Sekondari ya Ismila katika wilaya ya Iringa Vijijini, Pangras Msasamela, amekufa papo hapo na watu wengine zaidi ya 40 kunusurika kifo baada ya basi la Hekima lenye namba za...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MTANZANIA amehusishwa na mlipuko wa bomu la kigaidi lililotokea jijini Nairobi nchini Kenya juzi, baada ya mtu aliyekufa kwa bomu hilo kukutwa na hati ya kusafiria ya Tanzania. Kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf Mkutano wa chadema Arusha jana ulikuwa na lengo la kumtangaza meya wa jiji la Arusha mh. Esthomy Mallaya na naibu wake kwa umma(nguvu ya umma),ungefuatia na maandamano ya kwenda ofisi za...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kuna habari kuwa jengo limeanguka mjini Dodoma mwenye taarifa zaidi atujuze
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na habari zinazoendelea ni wazi kabisa hakuna uwezekano wa kikwete na hoseah kufanya kazi katika serikali moja. kwani kama yaliyosemwa na hoseah ni kweli basi kikwete anatakiwa kujiuzulu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WAKATI naisoma taarifa ya Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, iliyochapishwa na Gazeti la Guardian la Uingereza, nilishtuka. Nilibaki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukistaajabu ya Mussa utashangaa ya Firauni Kumbe kujigamba kote kwa serikali kwamba imesitisha mkataba na RITES TRL kumbe ilikuwa danganya toto!!Wahindi wana peta kama kawa hakuna kilichositishwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WALINZI wa kampuni moja ya ulinzi iliyoingia mkataba wa kulinda ofisi za Tanesco wilayani Muheza, juzi walifunga kwa kufuli, lango kuu la kuingilia katika ofisi hizo, wakiinikisha kampuni hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamu:- Mara nyingi tunaona kwnye vyombo vya habari watuhumuwa wakiwa wakikamatwa kwenye viwanja vya ndege na kete za madawa ya kulevya mf Cockaine 1.Ikiwa polisi wakikuta...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TCRA yaonya kampuni za simu kuvujisha siri Na Peter Mwenda MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonya tabia ya wenye makampuni ya simu na wananchi kuvunja kanuni ya utunzaji wa siri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MKAZI wa Arusha , Abeidi Juma (26) amefariki dunia papo hapo baada ya kukanyagwa na gari wakati akiwa amejipumzisha chini ya uvungu wa gari hilo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Absolomo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema njia ipo nyeupe kwa viongozi na wanachama wanaotaka kuondoka katika chama hicho kwa sababu ya kutoridhishwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
SHEIKH mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba amedai kuwa serikali imekubali kuirejesha Mahakama ya Kadhi nchini na kwamba mchakato wake ulisimama kupisha uchaguzi mkuu. Mufti Simba...
0 Reactions
294 Replies
22K Views
Thomas Beatie ambaye mwaka 2008 alikuwa gumzo duniani akitambulika kama mwanaume wa kwanza duniani kupata ujauzito anatarajiwa kujifungua mtoto wa tatu muda wowote kuanzia sasa. Mwanamke...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
ASKARI wa Jadi (Sungusungu) watatu katika Mji Mdogo wa Sirari wilayani Tarime katika Mkoa wa Mara, wanashikiliwa na Polisi wakihusishwa na tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha. Kwa mujibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MFANYABIASHA maarufu nchini Yusuf Manji, amepewa notisi ya saa 48 na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), kuhama katika jengo la Quality Plaza Complex. Jengo hilo ambalo liko kitalu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, aliposema atahakikisha watu waliojenga kwenye maeneo ya wazi na yasiyoruhusiwa wavunje wenyewe majengo yaliyopo, hakuwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
nina wasiwasi wanaovunja viti uwanja mpya wa taifa si watanzania
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom