Nafasi ya mjumbe wa nyumba kumi katika Tanzania:
Leo naona niwarudishe watanzania wenzangu katika jambo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu, nalo ni juu ya nafasi ya mjumbe wa nyumba...
WATU sita wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha za kivita jana jioni walivamia vituo viwili vya mafuta mjini hapa na kuua mtu mmoja wakati wakiwa katika harakati za kufanikisha uporaji wa...
niambieni hawa jamaa wa korea ya kusini na kaskazini kila siku ni mizozo na kuonyeshana uwezo wao wa kivita..lakini hakuna kinachoendelea hili ajulikane nani mbabe...
Kwa ufupi korea ya kusini...
WAKATI serikali ikitamba kwamba imejipanga kudhibiti matumizi, baadhi ya vigogo katika wizara na idara mbalimbali wamekuwa wakiuziwa mashangingi ya serikali kwa bei ya sh 300,000 hadi sh milioni...
North Korea's armed forces minister has said his country is ready for a "holy war" using the nuclear deterrent.
Kim Yong-chun said live-fire exercises conducted by South Korea near the...
MKUU wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Stanley Kolimba, ameshtushwa na taarifa kuwa Shule ya Msingi Mbuyuni katika Kata ya Kigwa, ina wanafunzi 584, walimu sita, vyumba vya madarasa viwili na vyoo...
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikishinda nafasi ya uenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, Diwani wa Viti Maalumu wa chama hicho Hamisa Mtulla ameshindwa kuapishwa wala kupiga kura baada...
POLISI mkoani Mbeya imeonya tabia ya baadhi ya madereva kuendesha vyombo vya usafiri huku wakiwa wamelewa siku za sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Onyo hilo lilitolewa jana na Kamanda wa...
BREAKINGNES . AKUTWA AMECHINJWA NDANI YA DALADALA MIYOMBONI IRINGA
Maiti ya mzee Bukuri ikiwa imechinjwa shingo na watu wasiofahamika usiku wa leo ndani ya daladala isiyofanya kazi...
Bunge la Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi, limetoa baraka zote kwa wanafunzi wa chuo hicho kuanza mgomo wa kuingia madarasani leo.
Mgomo huo ambao haijulikani utaisha lini, unalenga...
Polisi wavunja mkutano wake Arusha
Mbowe, vigogo waenda kuokoa jahazi
Naye John Tendwa ajitosa kusuluhisha
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Zaidi ya magari 40 ya Jeshi la...
Mwenzenu jana nilikuwa na mjadala hapa nyumbani, na mada kuu ilikuwa ni juu ya namna nzuri ya kupata mwenza.
Dada yangu mkubwa ndiye aliyeanzisha huo mjadala kwa kumuuliza mama kama ni vyema...
MARA baada ya Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibajuka kuchuku uamuzi wa kubomoa kuta alizogundua zimechuliwa isivyo halali mmiliki wa kiwanja hicho, Taher Muccadam...
YUMKINI wengi wanaomuona Jane Sosovele katika maeneo ya Posta Mpya na mengine ya jirani hudhani kwamba ugonjwa wake wa akili alionao haukumpa fursa ya kujua kusoma na kuandika.
Wanapomuaona...
Hivi huyu mama anakwenda mbele na kutamka kama kuna kigogo ana sambaza HIV kwa mabinti. kwa nini asitaje jina lake ilitumjue na wampeleke mahakamani. this is nonsense kabisa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.