SAKATA la upotevu wa kilo kadhaa za dawa za kulevya zilizokamatwa Novemba 18 mwaka huu mkoani Mbeya, limechukua sura mpya baada ya vigogo watatu wa Jeshi la Polisi mkoani humo kungolewa na...
ZAIDI ya wanafunzi 6,000 wa shule za msingi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wanakaa chini kutokana na uhaba wa madawati.
Aidha manispaa hiyo pia inakabiliwa na changamoto ya uhaba...
Ndugu wanaJf, leo waziri wa nishati na madini ameongea live na watanzania kuhusu mambo mgao wa umeme na suala la ongezeko la gharama za umeme. katika maongezi hayo yaliyokuwa yakirushwa live na...
Tar 17 nov 2010 42.5 zilikamatwa na polis tdm, na kupelekwa masijala ya polisi mkoani mby chini ya maelkezo ya rpc.taarifa zinaonyesha kuwa dawa hizo zilichakachuliwa na kuwekwea mkaa kwa rushwa...
WANANCHI wa Kitongoji cha Salamiti, Tarafa ya Mtimbira, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, wamemsulubu mkazi wa Kitongoji hicho, Joseph Mbulimika ( 40) kwa kipigo hadi kumsababishia kifo...
Hivi karibuni tumesikia ya kwamba tanesco kanzia 1jan watapandisha bei ya umeme.
Mbali na hilo Tanesco imekuwa ikipambana dhidi ya kuondoa/kupunguza vishoka wanaojitokeza kufanya shughuli...
Wakuu jana nilichelewa kulala kidogo na nikawa nasikiliza redio (it was Clouds Fm) na ilikuwa mida ya kipindi kilichoitwa 'ALA ZA ROHO' na Loveness Love. Of course alikuwa na mada nzuri kuhusu...
Nimepata habari toka kwa rafiki yangu kuwa mpiga picha wa ITV - Arusha aliyemtaja kwa jina moja la Abuu anayefanya kazi na Mwanaid Mkwizu alipata ajali jana na kufariki maeneo ya mwanga.
Tunaomba...
MTANDAO wa Wikileaks umeendelea kufichua taarifa zinazotokana na nyaraka za siri, na safari hii imeitaja Tanzania kuwa moja ya nchi kumi zinazotumiwa zaidi kama kituo cha kupitishia dawa za...
WATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja, wamepoteza maisha kwa kugongwa na gari katika ajali ya barabarani iliyotokea juzi katika barabara ya Shinyanga -Nzega katika kijiji cha Usanda, wilaya...
UMATI wa wanakijiji wa Kijiji cha Borenga, Kata ya Kisaka wilayani Serengeti, Mara, jana ulishuhudia jambo adimu kutokea katika jamii, baada ya Mzee Maro Hagare kukataa kuupokea mwili wa mke wake...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe jana alipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kigoma akikabiliwa na shitaka la kumtoa kwa nguvu mtuhumiwa mmoja aliyekuwa chini ya ulinzi...
Habari zenu wake kwa waume ktk hili jukwaa.
Nina mpango wa ku purchase gari aina ya ISUZU wizard,Naomba uzoefu wenu juu ya gari aina hii NB: uzuri wake na matatizo yake, pia mnaweza kunipa...
Faru kulindwa kwa mitambo maalumu
Na Reuben Kagaruki
WIZARA ya Maliasili na Utalii itawawekea mitambo ya kisasa zaidi faru wanne waliobaki baada ya mwenzao kuuawa na majangili ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.