Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
moja ya matatizo sugu nchini Tanzaniz kama zao la rushwa ni kuuzwa kwa viwanja vya wazi. kadri siku zinavyosonga mbele, viwanja hivi vinaisha. Nahofia watoto wetu hawatakuta viwanja vya wazi vya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu kidogo Mwalimu Mkuu wa Watu ,MWANDISHI wa makala gazeti la Tanzania Daima ailandika kwa uchungu kuhusu alichokiita ufisadi alioufanya mzee Mengi katika kampuni ya uwekezaji ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Unravel the Secrets of your Psyche Your view of these ink blots could reveal your deepest desires - and darkest fears. By John Naish Look at the third image on the right - do you see a strong...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jf ule mkutano wa CHADEMA Arusha ulikuwa ufanyike leo umeshindwa kufanyika baada ya polisi kuzingira eneo la mkutano. NMC ground.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama Tanzania hakuna ajira kwa nini wazungu wanakimbilia kuja Tanzania?kufanya kazi??wageni wote,mtaa wakongo vibanda vya maji,kandambili,yeboyebo ni wachina!!msururu mwanzo wamtaa hadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Accountancy giant Ernst & Young has been sued by New York's attorney general over its role in the collapse of Lehman Brothers during the financial crisis in 2008. Andrew Cuomo claimed...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
THE National Housing Corporation (NHC) plans to demolish its houses in prime areas and construct new modern structures beginning next year, as part of the firm's strategic development agenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TANESCO ni nini? EWURA ni nini? na Nchi yetu inapelekwa wapi na Taasisi hizi?? Ni hali ya Masikitiko makubwa, Uchumi unavurugika, Wananchi wanazidi kudidimia ktk dimbwi la kukosa huduma, ziwe za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu,niliandika makala yenye kichwa hiki,nilipowaonyesha baadhi ya rafiki zangu,walinitisha,wakanidharau,wakaniona mwehu,wakaona mtu ninayetaka kuhatarisha maisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je wenye nyumba kudai kodi ya mwaka mzima ni sahihi? nini kifanyike kuondokana na tatizo?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekutana na hii... hebu wadau toeni maoni yenu. Nimekuwa nafuatilia jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa inavyozidi kushika kasi, ikipelekea ule wigo wa kuomba michango kupanuka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WanaJF, Kwa vyovyote vile ni ukweli usiopingika kuwa Tansco inawacheza shere Wadanganyika kwa kuwatangazia hakuna mgao ilhali umeme kila siku unakatwa kwa zaidi ya masaa kumi mpaka kumi na mbili...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
fanyakazi wa ndani raia wa Indonesia aliyekuwa akifanya kazi katika nyumba moja katika mji wa Madina nchini Saudi Arabia, amelazwa hospitali katika chumba cha watu mahututi baada ya kukatwa sehemu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Duh! teh! teh teh teeeeeeee!!! :target::target::target::target::target::target::target:
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Kamanda wa polisi ametoa tangazo la kukataza mkutano wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwa sababu zifuatazo. 1. Taarifa ya chama hicho kwa polisi imetolewa chini ya masaa 48 kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ukichunguza kwenye jamii yetu yaani ndugu, jamaa au marafiki utaona kuna maneno yanatumika sana mfano: "tushirikiane", "tusaidiane "tuwe na umoja", "tuchangiane", "tusiwe wachoyo", na mengine ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vibaka wasio na utu hawakujaribu kunusuru maisha ya Abuu Semhando alipogongwa na gari, badala yake walimvua viatu na kumuibia simu na pesa zote alizokuwa nazo kwa wakati huo. Wapenzi wa muziki wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
NCHI ya Tanzania ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yaliyotia saini Mkataba wa Elimu Kwa Wote (EFA) wa mwaka 1990. Mkataba huu ulikuwa na takribani malengo sita ikiwemo kuhakikisha kuwa ifikapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nina shida na ofisi za CHADEMA jimbo la ukonga, zipo sehemu gani? Mtu anisaidie kunielekeza. thanks
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau hebu tujadili shirika la uma linaloongoza kwa ubovu. Mimi ninaona shirika linaloongoza ni TANESCO. Shirika hili achilia umuhimu wake kwa taifa limekuwa likitoa huduma mbaya miaka nenda miaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom