Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
广州塔上拍摄亚运开幕场馆的音乐喷泉 - 视频 - 优酷视频 - 在线观看 see the world. [ tutafika lini huku na sisi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimetafuta wapi ile jukwaa la kuomba chochote nimekosa kwa hiyo mtaniwia radhi kutumia jukwaa hili kwa kuomba msaada. Naomba mnisaidie kupata nakala za vitabu vifuatavyo. Poor Dad,Rich...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[Enough]
0 Reactions
1 Replies
967 Views
kuna thread moja nilisoma humu JF kwamba muheshimiwa mbunge mteule joseph "SUGU" alihojiwa na waandishi wa habari na kuulizwa sasa makazi yake yatakuwa DAR au mbeya? akajibu kuwa yatakuwa Mbeya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nawaulizeni je Nchi yetu itakuwa na hayo matatizo ya umeme mpaka lini? mimi nipo ughaibuni nazungumza kwenye chat sasa hivi chat ya yahoo na mwanangu yupo mjini Tanga ananiambia baba huku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja na JK kuwa ni mbambaishaji lakini kuna hoja moja angeliweka vyema machoni pa wapigakura pengine asingelihitai kuchakachua kura zetu na Uraisi wake tungeliukubali lakini utashi na hekima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Happy people how are u? za siku nyingi. Kwetu tumejaliwa maumbile mapana chini ya kiuno, kwa sisi wadada kutembea tuna feel shy sometimes hasa tukiwa TZ maeneo ya kariakoo wanaume wanatutaniaga...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Jamani angalieni jua dakika hii angani. Ni kama limezungukwa na mduara mkubwa kama ule wa rainbow. Wataalamu tuelezeni ni nini hiki?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari JF wote! Nina issue inanisumbua sana. Nayo ni kuhusu uchafu uliokithiri katika miji yetu ya kibongo. Katika hili nisingependa mtu alaumu. Kama ni makosa yalifanyika na kila mtu anajua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninaogopa.... Ninajiogopa mimi mwenyewe, ninauogopa ugonjwa nilionao.- Kwani itatokea lini, itatokea lini? Kifo cha taratibu, au labda cha haraka na bila maumivu? Watu... Wale wasionionyesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kitu gani kinaendelea tanzania institute of accountancy,kwani kuna nafasi ya principal wa chuo ilitangazwa tangu mwaka wa jana, nashangaa imerudiwa tena, inamaana tanzania hakuna watu wenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau Hivi karibuni kama wiki mbili kumetokea kukatika kwa umeme kila siku jioni mida ya saa moja usiku na kurudi kuanzia saa saba usiku hadi saa tisa usiku. Tatizo hili limejitokeza kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wamo Nzowa na Mkumbo ambao siku za karibuni walitajwa na Mengi kutaka kumbambikia mwanae madawa ya kulevya... karibuni... MKUU wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP), Said Mwema...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Broody again at 72: She became the world's oldest mother at 66. Now her little girl's five - and she wants ANOTHER Last updated at 2:05 PM on 14th November 2010 Charming though they look...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Monday, November 15, 2010 2:05 AM Kwa mara ya kwanza katika historia ya udaktari duniani, daktari mmoja nchini India ameweza kuzizuia hisia zake kwa kuitumbua na kuvichanganua viungo vya maiti ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kile kinachosadikika ni mambo ya mapenzi, mchina mmoja amemua kijana mwenye umri kai ya miaka 19 - 30 jioni ya leo hapa chunya
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chama cha mafisadi kimemchagua mheshimiwa Jobb Ndugai kugombea unaibu spika kwa ticket ya chama hicho baada ya kumpitisha kwa kura 197 kati ya kura 198 na kura 1 iliharibika. Waliokuwa wanagombea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Anawashka sana je anaweza kuchukua kitita?kama humjui ni yule mzungu eebwana anabamba
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kweli hali ni tete, yaani nashindwa kuelewa hii dunia inaenda vipi, Hivi wadau hili suala la hawa "FREEMASONS" mnalichukuliaje?? Can they dominate the whole world????!!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ghana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom