Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari hii kama ipo pengine ndani ya JF Mode utanisaidia kuihamisha kwenda panapohusika.Taarifa ya kwamba Jiji la Dar Es Salaam chini ya Halmashauri (DCC) LINATARAJIWA KUVUNJWA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TANZANIA imepanda katika maendeleo ya binadamu na kushika nafasi ya 148 kati ya nchi 169 kwa mujibu wa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu iliyotolewa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
RAIS Jakaya Kikwete, amefanya uteuzi wa wabunge watatu akiwemo aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Shamsi Vuai Nahodha na Waziri wa zamani wa Fedha, Zakia Meghji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
waziri mkuu Chenge Andrew Waziri wa elimu ya juu,SANGA MB wa Njombe Waziri wa maadili,AESH,Mb wa sumbawanga,WZR WIZARA ya kudhibiti rushwa,Lowassa Edward, Waziri wa Fedha Aziz Rostam,Waziri...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nchini mwetu pamoja na viongozi wakuu kula kiapo cha kuilinda katiba kabla ya kuingia madarakani, mara nyingi wamekuwa wakitenda kinyume na katiba hiyo. Mfano mzuri ni wa rais wa awamu ya tatu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau Kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na Dk Slaa, NEC, TISS, CCM na wahusika wengine katika Uchaguzi, imebainika kuwa Dkt Wilbroad Slaa Amechakachua Barua. Inasemekana kufuatia...
0 Reactions
101 Replies
9K Views
Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
wana jf nataka wote tunufaike na hil,. Kwa wale wanaopajua feza boyz sec n high xul. Tegeta hapa, kutakua na nyama ya kumwaga eid ya kesho, njo ujipatie kwa uwezo wako..buuure kabisa.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi nasema sikubaliani kabisaaaaaaaaaaaaa! Yaaaaaaaani yaani eti kuna hawa jamaa wanaowaosha na kuwasugua wake zetu miguu na kucha. Kama wao wanaoshwa na kusuguliwa miguu kwa nini na ninyi akina...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aslaamu alaykum wanaJF. Salaamu za kher kwa wanaJF wote katika kusherekea sikuku ya muhmu ya EID AL ADHA kwa Waislaam wote duniani Hapo kesho . Ikiwa ni ishara ya kumalizia kwa ibaada kubwa Hija...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepima kauli za Spika mpya Mheshimiwa Anne Makinda na kugundua silaha anayoitegemea kuzima mijadala bungeni ni kifungu cha 90 (13) ambacho kinasema kauli ya spika ni ya mwisho anapoamua kufunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni bunju eneo vikawe unakata kona pale baobab sekondari umbali wa kama km2 kutoka barabara ya bagamoyo. Kuna heka nne na nusu kila heka moja ni sh 6000000/- zipo karibu na barabara. Viwanja: 40x20...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
umeshaenda kwenye ofisi za watu ukamkuta secretary...ukamwambia dada samahani naweza kuonana NA boss wako......atakuuliza una-appointment nae...utajibu hapana....atauliza jina lako utamwambia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni,vipaza sauti (Mic)zinaendelea kugoma,nakumbuka Bunge limekarabatiwa juzi juzi... Kwa kweli inasikitisha sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wanaotengeneza matangazo ya biashara sikuhizi hawazingatii mahadili!! Kuna tangazo la ped za wanawake hali zingatii maadili uwezikusikia ukiwa nawatu uaoheshimiana au watoto.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafiti binafsi: 98% ya watu ninaokutana nao na kuzungumza nao au wakiwa wanazungumza habari za siasa wanaeleza kukerwa na CCM na kutomtaka JK. Nyumbani, ofisini, chuoni, hospitalini, hotelini...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
WANA JF HABARI ZA MCHANA. JAMANI NAULIZA HIVI NI MAKAMPUNI GANI TOFAUTI NA UN AMBAYO YANATOA NAFASI ZA WATU KUJITOLEA ILI KUPATA UZOEFU? je pia kuna mabenki au taasisi za kifedha zina hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama jamii forums ni bunge, je nani atakuwa spika, makamu wa spika, waziri mkuu na baraza la mawaziri kwa ujumla litakuwaje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu m-wazima wana jf! Leo naomba fahamu tofauti iliyopo kati ya 'REUTERS' na 'BBC',
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom