Naandika mwili ukitetemeka baada ya kushuhudia miili minne ya marehemu. Jamaa mmoja wa Mamba kokirie Moshi Vijijini,Macmilan Msami (49) amemchinja mama yake mzazi kama kuku kwa kutumia panga...
Niliposikia kauli ya Chili eti wabunge wa CHADEMA wanaweza kufukuzwa bungeni, nilimshangaa na kusema huyu ni Spika, naibu, au...? hata sheria na kanuni hajui, anaongea tu, uzee unamjia vibaya...
Source: Daily News of 19 Nov 2010
THE government has rejected the findings of a report showing continuous drop of the country's performance in agribusiness.
Dubbed 'Policy, Regulatory and...
Respect Wakuu,
Jamani mwenzenu naomba msaada katika hili. Juzi kule Zanzibar sherehe za sikukuku ya Idd El Hajj ziliambatana na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein kugakuwa gwaride la jeshi la...
In this TED talk, David Bismark discusses how election procedures are verifiable and transparent if they are computer-based. He proposes a system "for the people, and by the people".
I couldn't...
Mmoja wa mamodorator wa JF tuko naye hapa iringa kwenye semina iliyoandaliwa kwa waawaandishi wa habari kutoka Tanzania nzima.
Moderator huyu(jina naliifadhi) ni mmoja wa facilitator kuhusu...
Hebu fikiria kuwa kuna mtu amekuletea mali ya wizi mfano simu ya bei kubwa (zaidi ya Tsh 600,000) akakuuzia bei poa kama Tsh 30,000, Je utakataa kununua? Kumbuka kuwa muuzaji humjui mmekutana tu...
Maafa makubwa yamekikumba kijiji cha Mamba Kokirie wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya mtu mmoja kumuua mama yake mzazi na watoto wake wawili kwa kuwakata na kuwachinja kwa panga...
Wazee wa iliyokuwa Jumuia ya africa ya mashariki wanatarajia kuandamana ili kuishinikiza serikali kuwalipa mafao yao.maandamano haya yanategemewa kufanyika tar 23 nov mwaka huu.
Source: clouds...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
MMhhh jamani kaka zangu ZITO,SUGU,MNYIKA LISU KWA HILI LIMENISHTUA INGAWA BADO NARUSHA MAOMBI KILA KONA KAMA WABUNGE WA CUF WALIKALIA VITI VYA CHADEMA KWA LENGO BAYA BASI MUNGU AKAWAPIGE WAAO NA...
Habari zenu wanaJF,
Kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikifatilia hoja mbalimbali ziletwazo hapa jamvini, katika kupitia huwa nakutana na replies ambazo kusema ukweli zinasikitisha sana. Majibu ya...
COL Kent Kester, the Commander of the Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR), handing over a vehicle to the Tanzania Peoples Defence Force (TPDF) Chief of Medical Services, Major General...
Kipigo hadi kifo kwa kumbaka mpwawe, binti wa miaka 7
Wananchi wenye hasira wamemuua Bw. Charle Mushozi, maarufu kwa jina la Kalwani (25-30) baada ya kumfumania nyumbani kwao akimbaka mpwaye...
International Mens Day (IMD)
Our theme in 2010 : Our children, our future
International Men's Day began on November 19th 1999 in Trinidad and Tobago and was supported by...
Wana JF TUCHUKUE HATUA GANI YA HARAKA NA MAKUSUDI?KWA KURA NAONA TUNAJIDANGANYA!KILA SIKU WATU WACHACHE SANA WALIOMADARAKANI WANAKULA JASHO LETU SISI IMEBAKI KUPOST TUU NEWS HUMU NA KUANGALIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.