Wana forum msaada hapa jamani,niliagiza vigari vyangu huko japan baada ya kudunduliza vihela kwa muda mrefu sana.sasa ishu inakuja hapa,gari zimeingia tangu kama wiki imepita sasa ila clearing...
Mods,
Sijui nini hasa dhumuni lenu lakini kuiunganisha thread yangu na nyingine sidhani kama mmenitendea haki yangu ya msingi. Nimemuuliza mhe swali ni matarijio yangu ingekuwa rahisi yeye kuona...
Wajameni wanaJF, kweli hii inasikitisha, rafiki yangu amemaliza course work yake kama kawaida na kusoft bind thesis yake mapemaaaa miaka miwili iliyopita, tatizo limekuja pale kazi haikupelekwe...
Salaam wana JF,
Nataka kujua juu ya kampuni hii ya simu;
Iliingia nchini kama Celtel, mwaka 2008 ikabadilika na kuwa zain nayo inasemekana baada ya kuuzwa, sasa hivi imebdilika na kuwa airtel...
Moderator na wana JF
Kulikuwa na thread kuhusu usalama wa taifa.... iko wapi? Kuna news motomoto za kuweka! Please.... urgent... naomba link yake. Nimejaribu kuitafuta bila mafanikio!
Wana JF naomba kuuliza hivi Majimbo yanayochagua wabunge ambao ni Wahindi au Waarabu kama Singida mjini,Igunga au Ilala huwa hakuna Watanganyika wenye sifa za kugombea au huwa inakuwaje? Naomba...
Kitendo cha baadhi ya makampuni ya simu kupigwa majina kila baada ya muda fulani kibiashara, yaani kubadilishwa majina au umiliki mfano, celtel kuwa zain, mara airtel, au mabitel halafu buzz, tena...
Habari wana JF. Nakuja tena na maada nyingine ambayo yaweza onekana ni ya kawaida sana lakini kwa great thinker hili suala lina impact kubwa sana katika maendeleo ya taifa letu. Africa tumekuwa...
Wana JF najua wengi mnaweza kushangazwa na topic hii, lakini sina lengo la kukufuru hapa bali tujadili kama great thinkers. Nimeangalia na kutathmini maisha yetu ya kila siku. Jiulize kuhusu...
Gazeti la Habari Leo linatuhabarisha ya kuwa ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa serikali haina meno ikilinganishwa na ofisi nyinginezo Afrika za hadhi yake...................
Source: Yahoo friends
Friends,
This is relevant to all of us...
Enjoy
One young academically excellent person went to apply for a managerial position in a big company.
He passed the first...
Nimeskia kuwa regina mwalekwa amesepa redio one na kwenda kule kwa yale majike yasiyojua kiswahili fasaha i mean kibonde, gadna etc!! Tena jana nikaona katumi ikimwonesha jamaa aitwae miladi...
Sasa uchaguzi umekwisha tunakwenda na mwendo wa utajiju stili ambapo
1. Mgao wa umumu kama kawa
2. Mgao wa maji kama kawa
3. Majembe bararabarani kama kawa
4. Sticker za fire kama zamani
5...
Habari wakuu.
Kutokana na desturi zetu, kujamba au kutoa hewa ile chafu mbele za watu si vizuri na mara nyingi wazee wamefikia hadi kusingizia wajukuu au watoto kuwa ndoo wamechafua hewa kumbe ni...
Eti kuita akina mama beijing inahashiria kuna umoja wa kujadili maslahi ya kina mama,sasa je kina baba wao wanitwaje .....au wao hawana maslahi,au labda tujiite hongkong.
ndugu wanajamii huku kijijini napata shida kweli....jana jirani yangu mama preta kaja, juzi alikuja mama alfani ananiuliza kama bado nawasiliana na mwanae aliepo mjini?nikamjibu mama siku hizi...
Gazeti la majira limetupasha ya kuwa ile kesi ya ufisadi wa rada yetu ya kijeshi kuanza kunguruma kwa mara ya kwanza uingereza kesho...................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.