Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wana Jamii Kwa uelewa wangu, na ufuatiliaji, NACHELEA KUSEMA KUWA vita na Uganda, Tanzania ilikuwa haina UWEZO wa kuishinda Uganda kama tunavyosema. Kama Watanzania tunavyodai kuwa Jeshi letu...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ndugu wana jf ni vizuri tukajuwa hisia zetu juu ya jamii forum,kwani kwangu mimi jamii forum ni kila kitu,huwa nahisi nipo nyumbani morogoro kihonda kwa chambo, na kwa kweli nilihisi kufa baada ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kweli bongo bado tuko nyuma kwenye customer care and follow up. Hili li modem la KIHINDI LA AIRTEL toka jana usiku ukiconnect ukafungua page tu linajidisconnect. MODEM yenyewe nilinunua airport...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza kabisa Rais wa NEC,JK anajifanya ku-note kila anachokiongea Prof.Iddrisa Kikula...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna hali inayoendelea hivi sasa katika baadhi ya vituo vya kujazia mafuta kwenda sambamba na huduma za ki-Imani. Katika uchunguzi binafsi, imebainika kuwa katika vituo vingi vinavyomilikiwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sumiati Binti Sala Mustapa akiwa katika hospitali ya Mfalme Fahdi mjini Madina alipolazwa. MFANYAKAZI wa ndani raia wa Indonesia, aliyekuwa akifanya kazi katika nyumba moja nchini Saudi Arabia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wana jamvi miezi miwili iliyopita mtoto wa mengi alitaka kubambikiwa madawa ya kulevya na baadhi ya wakuu wa polisi hapa tz,na mzee mengi aliwataja kwa majina wahusika na akawaeleza kama...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
nahisi tunaitaji sasa na sie tuwe wasafi kwa hili serikali ya rwanda imepiga marufuku mtu yoyote atakaeingia na mfuko wa plastick kuchanwa chanwa ama kuchukuliwa mzigo wake na hili ni ktkt kuweka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni aje hommiez! Mara nyingi najaribu kuangalia sayansi na teknolojia katika nchi yetu. Ni kweli serikali inahimiza au kuchochea mpango mzima wa sayansi na teknolojia kwa watuwe lakini bado sijajua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia watu waliojiunga na "Dr. Wilbroad Slaa facebook page".. Dr. Willibrord Slaa | Facebook Wakati wa harakati za kuanza kampeni, page hii ilianzishwa na nilibahatika kupewa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba msaada wa mwenye kufahamu wizara ya mambo ya nje ya Tanzania..
0 Reactions
4 Replies
3K Views
nimenunua laptop kupitia ebay nataka kuituma ije tanzania, nimewahi kununua vitu vidogovidogo, simu, vitabu, cd na shirts, vingine vilifika vingine viliibwa na posta lakini havikua vitu vya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiangalia ITV taarifa za habari, karibu kila siku naona taarifa za watu waliopotea. Watu hawa huwa ni watoto na watu wazima. Je kuna taarifa zozote kuwa hawa watu wamepatikana? Hawa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kwa kitendo cha jeykey kumchagua Dr. Shukuru Kawambwa kuwa waziri wa elimu naona hakikuzingatia uwezo wa huyu jamaa. Kama kwenye wizara aliyokuwa nayo kipindi kilichopita tulishudia kuyumba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
10. Effect of the gut Aloe Vera has a wonderfully beneficial action on bowel function, which results in smooth and efficient transit of contents, often eradicating inconvenient colicky pain...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Manji kajulikana sana kabla ya kuingia yanga kabla ya hapo sikuwahi kumsikia manji katika ramani atailipa nini yanga ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi! Nataka kufungua duka la dawa za binadamu naomba msaada jinsi ya kupata vibali maana nasikia kupata kibali ni ishu..rahisi kupata kibali cha kuuza kitimoto pakistan kuliko cha kuuza dawa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi swala la JANUARY MAKAMBA kupewa uwaziri, mnaliongeleaje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nywele zina majina mengi, mara nywele za kichwa, za kwapani, za machoni n.k Lakini kweli jamani, to be honest,, nini kazi ya ndevu? nimesahau kidogo Biology yangu naombeni mnisaidie, mie ninazo...
0 Reactions
22 Replies
46K Views
Wakuu hivi majuzi niliwahi kuandika thread humu kuelezea bei ya mafuta Kasulu wengi walishangaa sasa nadhani hii ndio kiboko bei ya mafuta huko sumbawanga ni shilingi 4000-5000. Je, tunakwenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom