Ndugu wana jf si jambo la kawaida ktk hii dunia yetu lakini yanatokea na inabidi tuyakubali kama yalivyo.
huwezi amini lakini inakubidi uamini,BABA AMPELEKA MTOTO WAKE WA KIUME AKATOLEWE...
Natanguliza heshima zangu kwene nyooote,
Nimelazimika kuanza na swali kutokana na yaliyotokea katika thread niliyoanzisha jana ya HOW I MADE OVER 36,000/- US$ PER MONTH.
Miaka mingi sana...
Indonesian maid has lips cut off by employer
An Indonesian maid has allegedly had her lips cut off and been burned with a hot iron by her Saudi employer, according to reports. Sumiati Binti Sala...
Tulia kidogo halafau tafakari jambo hili.
Wewe ni mzazi (hata kama si mzazi jiweke kwenye nafasi hiyo tupate HEKIMA), punde tu, mmepata mtoto wa kwanza. Ukijua kuwa ndiye atakayerithi yale ambayo...
Rafiki yangu mmoja baada ya kuzalishwa watoto wawili tulimshauri kuhamia kwa jamaa ambaye alikuwa anaonyesha dalili za kumbwaga na wanawe.
Tangu huyo dada ahamie hapo jamaa hamuongeleshi...
Leo asubuhi wafanyabiashara kwenye soko la Mbuyuni manispaa ya Moshi wameshikwa na butwaa baada ya kuja na kukuta vibanda vyao vimevunjwa na askari wa manispaa wakishirikiana na askari polisi...
Jamani hivi huu utitiri wa college hapa dar es salaam kama western n distance learn college m2 akimaliza diploma kuna uwezekano wa kuapply degree katka university,na vinausajili vingine kweli...
Kwenye miaka ya tisini baada ya tume ya Nyalali kurekebisha sheria kipengele cha kuomba kibali polisi kilifutwa na tukaambiwa mkitaka kuandamana munawajulisha polisi watoe ulinzi. Kuna nyimbo ya...
Nimeshikwa na kichefuchefu baada ya kuona kipeperushi cha kuadhimisha miaka 50 ya UDSM kikiwa katika daily news la leo. Kidude hiki kisicho na hadhi kimetolewa leo huku jana UDOM ikiwa...
Wana jf tufanyaje?hawa waliopewa madaraka kila kukicha wanatumaliza?imagine 5bn ni nyingi sana warejeshe. Zilikua za miradi 4 ya umwagiliaji.MASHA si inatakiwa awajibishwe?source daily news 26nov 2010
Mh. Magufuli karibu tena kwenye wizara ambayo uliimudu vizuri wakati wa mzee Ben Mkapa. Hata hivyo matarajio yetu ni kwamba utayapa uzito unaostahili yatuatayo:
MATUTA BARABARA KUU:
Mh. Magufuli...
Wajameni, katika pitapita yangu mitaani nimegundua kuwa moja ya biashara inayoshamiri kwa kasi hapa tz ni ufyatuaji na uuzaji wa matofari. Kwasababu hii ubora wa bidhaa hii unashangaza. Matofari...
Wapendwa nimemuona mze wetu mmoja kwa wale wa miaka kadhaa alikuwa chuo kikuu cha dar es salaam..prof mshana.majuzi nikiwa training nilikuwa kwenye chuo cha KITS
nikaona jamaa wanangaika...
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kimeelemewa kutokana na uhaba wa malazi na huduma za chakula kwa wanafunzi.
Hali hiyo inatokana na idadi kubwa ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa...
DHANA ya elimu imekuwa ikifafanuliwa na watu kulingana na muktadha tofauti, hasa kutokana na namna ambavyo watu wanavyoona umuhimu wake kwa jamii. Mwono huo umechangia watu kuielezea elimu kama...
Hii ndiyo kampuni pekee inayojiamini kuwa imeshikilia music industry na entertainment ya bongo kwa ujumla lakini do you know that hawa jamaa ndio waliofanikisha kuua ile project ya Shigongo ya...
Wanajamvi naombeni ushauri wenu nifanye nini. Wiki iliyopita traffic mmoja alinikamata kwa kuwa road licence ya kigari changu ilikuwa imeisha. Akaniambia ananipeleka kituoni na tulipofika kituo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.