Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nlitokea Jangwani kwenda Magomeni juzi tarehe 17/8/10 mchana na kujaribu kuingia barabara ya kulia bondeni hapo Magomen Mapipa karibu na kwa Macheni bila kuona alama inayozuia. Kutaharuki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara nyingi ninapokuwa na hoja tofauti kidogo na wanajamii wengi au ninapotofautiana mtazamo hupenda kushirikisha watu - ili kujua mtazamo wao ni upi hasa. Na leo ningependa niwashirikishe...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond? Jamani Zitto...
0 Reactions
98 Replies
7K Views
Mh. Celline Kombani- Katiba na sheria Mh. Haji H. Mponda- Afya
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani naomba nijulishwe website ya collage of bussines and management(CBM).NA napenda kujua kipo pande zipi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tatizo katika uwezo wa watu wetu kujenga hoja zenye mantiki. Nadhani ipo haja ya kutoa semina ya bure tu juu ya Effective Arguing or something similar kwa sababu wakati mwingine...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu.Natumaini wote tumeamka salama,kwa wale wenye matatizo poleni sana ndio mitihani yenyewe hiyo. Naamini wengi tutakuwa tuliona post iliyokuwa inasema something like 'how i made...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mi nina mdogo wangu anataka kwenda chuo cha CBM(COLLAGE OF BUSSINES AND MANAGEMENT).kipo dar es salaam.naomba mnisaidie kupata namba pamoja na website yao kwa wanaoijua plz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani nimeota dk silaa kachaguliwa baraza la mawaziri sijui lipi lakini akiwa anafuraha kabisa embu wananyota na ndoto tupen maana ya ndoto hii
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Anne Semamba Makinda Baada ya jina la Waziri Mkuu kusomwa na Spika, Mwanasheria Mkuu wa serikali alipewa nafasi ya kutoa hoja au kuongea; Mheshimiwa Tundu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
• Rushwa ya barabarani ni wastani wa milioni 900 kwa mwaka • Pesa hii inaweza kusomesha watoto 4,500, kununua mifuko 13,000 ya mbolea, na mabati ya nyumba 2,500. Rushwa imekithiri sana katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Ndio yawezekana kabisa kuingiza zaidi ya kiasi hicho kwa mwezi, Je ungependa kujua ni jinsi gani hilo lawezekana? Ikiwa wataka kujua click hapa, Karibu sana.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wengi mtakubaliana nami kuwa kwa sasa sio humu JF peke yake hata maofisini, nyumbani, vyuoni n.k. tumekuwa na ushabiki mwingi wa kisiasa na kutambiana kuwa chama flani kimeshinda bila kuangalia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani tunatakiwa tutambue hivi, CCM ni wajanja, na wanajua kabisa kuna watu ambao wakikamata akili zao na maisha yao, itawapa kufanikiwa ktk kuendelea kumtawala Tanzania. Tutazame mambo haya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF Salaam Siku ya Jumapili usiku nilipita jirani na uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha,na nilikuta kundi la wanaoitwa watoto wa mitaani au wanaoishi kwenye mazingira magumu wapatao 18...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Scientists warn of sterility after testing temperatures of nether regions Source: Reuters Whoever invented the 'laptop' probably didn't worry too much about male reproductive health. Turns...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawezaje kujiunga na jeshi?msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ivi inakuaje spidi ya gari mfano starlet ikiwa kwenye 100km/h inapitwa na basi kubwa ambalo lipo 80km/h. Kama ishu ni gear box revolution,,sasa speed ipi ndo correct?
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Leo nimesikia redioni (clouds)kipindi cha magazeti kuwa malimu self amekabidhiwa ofisi na kazi zake zitakuwa 1.kuhangaikia ukimwi, 2.walemavu 3.mazingira 4. Mihadarati hii yanne nimeiona ni...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Gazeti la Nipashe linaripoti ya kuwa kesi ya Basili Pesambili Mramba na wenzake itaendelea kusikilizwa leo hii.......................Hii ni kesi ya kutoa zabuni kwa kampuni ya kuhakiki dhahabu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom