Habari za asubuhi wana JF, samahani naombeni mwenye kufahamu code hii ni ya nch gani, +161....... nimejeribu kutafuta ktk google nimechemka, kazi njema
Hivi karibuni nilishinda TZS 1,000,000 kwenye vocha kwaruza ya TIGO sasa nikaenda TIGO customer care centre pale opposite na Posta House, Ohio Street cha kushangaza wakasema hawawezi kushughulikia...
Jamani naombeni msaada. nataka kujitoa kwenye SMS kutoka SIMBA SPORT CLUB kutoka namba 15556. Naona sasa wanafanya mchezo kwani wananitumia SMS fupi fupi ambazo zinaweza kuwa moja. Naona kama...
Naamini kuna wana JF ambao ni wataalamu wa Hali ya Hewa Jamani.Juzi nilikuwa Shinyanga yaani Joto ni Kali kuliko Maelezo na Sasa Nipo Mtwara natamani Kuhamia Baharini.
Nini Kinaendelea na Je Nchi...
Tanzanite's Child Labor
Mererani in northern Tanzania is the only place on earth where the precious stone tanzanite is mined. Every day thousands of children risk their lives in poorly...
Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing.
yaani...
Katika hali ya kushanganza chuo kikuu cha Dar es salaam kimewatangazia wanafunzi wanaotarajia kujiunga na chuo hicho kuja kuchukua admission letters kuanzia jumatatu ya leo (Tar. 18/10/2010)...
Jana 18th oct 2010 kimetokea kisa kimoja ktk shule ya uhuru mchanganyiko dar es salaam, ambapo wanafunzi wa darasa la nne zaidi ya 30 walivuliwa viatu. Kiasa cha kuvuliwa viatu kwa wanafunzi hao...
Nimesikia taarifa ya habari ya saa saba mchana huu Radio TBC ikieleza kuwa kuna watu wamekamatwa leo ktk Bus litokalo Dar-Mtwara wakiwa na vifaa haramu vinavyotumika kutengeneza mabomu ya mkono(...
Thousands of climbers are risking their health by emulating celebrities who have scaled Mount Kilimanjaro, scientists are warning.
Top of the world: Office worker Julianne McGregor...
NINATAKA KUTOA MAONI YANGU KWA KUTUMIA TU UHURU WANGU WA KUTOA MAONI. NINYI MASHABIKI WA CHADEMA MSIJE KUNISHAMBULIA NI USHAURI WANGU.
1. Kwa kuwa Sheikh Yahya aliahidi kutoa ulinzi wa majini kwa...
Dhahabu yafumka Matombo
na Joseph Malembeka, Morogoro
ENEO la Matombo, wilaya ya Morogoro Vijijini limevamia na makundi makubwa ya watu kutoka sehemu mbalimbali nchini kutokana na eneo hilo...
CCM badala ya kumtafuta mchawi ni kwa nini tunamfuta kazi JK ambaye kabla ya uchaguzi kuanza, Makamba alidai CCM haina mtaji mwingine wa kisiasa ila JK wakati mtaji stahili ni itikadi sasa waelewe...
By Gwynne Dyer
WTH this law Israel buys an exit ticket from the family of nations, wrote Israeli journalist Nahum Barnea last week in the newspaper Yedioth Ahronoth.
The proposed loyalty...
Source: http://vijana.fm/2010/09/28/tunawasilisha-tzelect-chombo-cha-ushahidi/
Vijana FM inatumia Crowdmap, chombo kilichojengwa na Ushahidi, kukusanya taarifa, mawazo na uzoefu wakati wa...
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto. Tulikuwa Mimi na Kikwete kwenye kingo ya mto mmoja mkubwa. Ng'ambo kulikuwa na kundi kubwa la watu wakisikiliza kampeni za kikwete. Kama kawaida yanke akamwaga...
Kumekucha sasa si wakati wakulala
ile ndoto ya cuf ya kuikamata ikulu ya zanzibar zazidi kupotea baada ya vigogo wake wawili kurudi ccm chama cha kijani chenye mvuto na ushindi wa kishindo
na...
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 13 October 2010
CCM yafika mwisho wa barabara | Gazeti la MwanaHalisi
KIONGOZI yeyote aliyekaa madarakani muda mrefu akianza kutapatapa, ujue mwisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.