Jk ndiye kiongozi wa kwanza ndani ya CCM aliyedai "Maisha Bora kwa kila Mtanzania" hayawezekani bila ya misaada ya kutoka kwa wafadhili na kuongeza ya kuwa elimu na afya bure ni ndoto za alinacha...
JANA MNYIKA ALIKUWA KWENYE KAMPENI ZAKE PALE SHULE YA MSINGI JESHINI-MABIBO,(CUF WAO WALIFANYIA MKUTANO LUANGA-KWA BIT' KAENGA) BAADA YA ULE MKUTANO NILIONANA NAE NA NIKAMUULIZA WANA MPANGO GANI...
Kwa miaka takribani 50, CCM/TANU/ASP imekuwa mwanafunzi mzuri wa ukoloni wa mwingereza wa kugawa raia ili kuwatawala. Mkoloni alitugawa kwenye makundi ya udini na ukabila kwa kutumia peremende na...
Kwa sababu Raisi mtarajiwa Dr. Slaa ni mcha Mungu sana kamwe hatawabagua au kuwanyanyapaa wanachama wa CCM wajiitao "CCM damu, damu" Katika kulijenga upya taifa hilli, Raisi mtarajiwa atatumia...
Today we mourn the passing of a beloved old friend, Common Sense, who has been with us for many years. No one knows for sure how old he was, sine his birth records were long ago lost in the...
Wadau:
Nimeipata hii kutoka ndani kabisa katika duru zangu za kuweka sikio langu ardhini.
Siku ile ambayo motto wa Mengi ilikuwa asafiri, fisadi huyo alikuwa amepanga kusafirisha...
Habarini wandugu, najua hili swali si geni saana kwetu wote tukizingatia Tanzania ni miongoni mwa nchi TAJIRI sana kwa mali asili na ni moja kati ya nchi MASKINI saana KIUCHUMI, wengi wa wananchi...
Poleni na majukumu ya hapa na pale wana JF.
Wiki hii nilikuwa katika safari za hapa na pale nchini kwetu humu kutafuta riziki.Katika moja ya safari yangu moja iliyofanyika jana jumamosi kutoka...
Siku ile ya tarehe 5/5/2010. Akiwa mbele ya wazee wa Dar-es-Salam, Mh JK huku akiwaita wafanyakazi wa Tanzania mbayuwayu, alitamba na kusema "Mimi ndiyo mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo...
Wazee wanaodai mafao yao ya kustaafu, jana walifukuzwa mahakamani kwa kumwagiwa upupu, habari ya kusikitisha ni kwamba mzee mmoja amefariki kutokana na adha ile, watanzania...
SIKU 16 kabla ya kufanyika wananchi kupiga kura, askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk Valentino Mokiwa amedai kuwa hivi karibuni alipelekewa rushwa ya Sh11 milioni na mtu asiyemfahamu ili...
1.Nawaomba amkeni,
Enyi mlio vitandani,
Amkeni wajameni,
Amkeni msione soni.
2.Msilale kama pono,
Tena bila ya maono,
Tushikamane mikono,
Ili kuonesha mfano.
3.Umefika muda tena,
Tulioungoja...
Wakuu naomba kuelimishwa juu ya hili maana mimi najua hapa duniani kuna vitu viwili vyenye nguvu asili navyo ni MAJI NA MOTO!Sasa basi mimi ninaomba kujua kati ya hivyo nikipi chenye nguvu kuliko...
WanaJF:
Hii imekaaje? Polisi kuchunguzana kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwao wenyewe? Daima jamaa hawa hulkindana, hivi kweli haki itatendeka? Soma habari hii:
IGP Mwema: Tunachunguza...
Mumbai property, named Antilia after a mythical island, is worth £630m and comes complete with three helipads.
Mukesh Ambani is having a few friends round to celebrate moving into his new Mumbai...
Nimepokea ujumbe sasa hivi, ukionyesha kuwa sehemu ile maarufu ya B-Bar leo kuna Sale ya Kitimoto.
Nimeona nisiwe mchoyo niwajulishe na nyie wadau, japo tukapunguze machungu ya Kampeni.
Karibuni
Nimekuwa nikisoma hoja mbalimbali za wanaJF na ningependekeza hoja zijengwe kuhusu suala hili.
Baadhi ya wanaJF wamesema urais si lelemama ni kitu complicated etc. Sasa mimi natoa challenge, je...
Wadau,
Leo nimeshuhudia watoto wakishiriki ktk maadhimisho ya Siku ya Mwl. Nyerere na kuhitimisha mbio za mwenge katika kile kilichoitwa harahiki kule Kigoma. Mimi sipingi hizi harahiki bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.