1. Life isn't fair, but it's still good.
2. When in doubt, just take the next small step.
3. Life is too short to waste time hating anyone.
4. Your job won't take care of you when you are...
Katika hotuba yake ya kukubali kuwa mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM hivi karibuni, JK alionyesha kukerwa na majamvi ambayo yamekuwa mstari wa mbele katika kukosoa mwelekeo wa serikali yake.
Vile...
Wakuu naomba msaada, najaribu kujaza mifomu ya kuomba viza ya obama sasa kuna haka kapengelea cha Passport Book NUmber nimeshindwa kukaelewa. Heeeelp?! Je Kwenye passport yetu ya Tanzania naipatia...
SPECIAL REPORT: Tanzanias debt stock to hit Sh2.54 trn by June 2011 Monday, 11 October 2010 10:40
By The Citizen Reporter
Until 1997, the Tanzania government had no domestic debt. By 1998 when...
Wanajamvi leo nimepokea message ifuatayo toka TIgo "Ndugu Mteja. Kuanzia 8/10/2010 kila ukituma muda wa maongezi kwa namba yako kwa mfumo wa 101 utatozwa 3% ya salio unalotuma. Endelea kufurahia...
'Baba, Hela Hii Inanunua Nini?'
"Baba hela hii inanunua nini?" aliniuliza binti yangu mwenye umri wa miaka minne. Niligeuka na kuangalia, halafu baada ya kuona sarafu aliyoishika mkononi...
According to CNN so far 5 miners have been rescued and will be hospitalised for a while.
MY TAKE
See how caring Chile govt is to its Citizen was it to be in Tanzania we would have forgotten these...
KWeli WAPO wachache sn watu wa aina hii.
Kweli TZ tunao watu wachache ambao hawako tayari kuuona uozo na ugonjwa wa ufida unaendelea hawa wanaafaa mifano bora katika jamii...
Ukifika unaweza hisi magari yamepangana kwenye msururu wa kwenda kumuaga mwalimu nyererela hasha kumbe yamesimamishwa na matraffic wapatao6 wawili wakiwa na jesi za brown na wa4 nyeupe wakiwa...
EU walaani tamko la vyombo vya usalama
TAMKO la mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo bado linakosolewa baada ya waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka...
Ajitokeza Uchi Mbele ya Obama, Ashinda Dola Milioni 1
Juan James Rodriguez alipotiwa mbaroni na polisi baada ya kujitokeza mbele ya rais Obama akiwa uchi wa mnyamaWednesday, October 13, 2010 3:54...
Katika hali isiyo ya kawaida Channel ten leo jioni imepitisha kwenye habari zake tukio la JK akisakata ngoma ya "Kiduku" ya huko kusini na kuonekana habari hiyo imefunika hoja zozote zile za...
11 October 2010
' Mwenyekiti' wenu naandamwa na maneno kule Jamii Forums ( JF). Nimeishi Iringa na Wahehe kwa miaka sita sasa. Mkisikia nimechukua kamba na kujinyonga, basi, ni JF...
Mwananchi wewe unajisikiaje pale nchi yako inakosa eneo maalumu kwa ajili ya Viongozi!!
Kwa sababu ya ufisadi na tamaa zao kuuza nyumba za serikali ambazo baba zetu waliziheshimu kwa miongo kadhaa...
Oct 11, 2010
Drama ensued in Arusha, Tanzania, last week when the wife of the owner of several hotels reportedly disappeared with wads of cash taken from one of her husbands businesses...
Habari wana jamiiforum,
Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
Wana Jf,
Nilipata kisafari cha kikazi nje ya nchi kwa wiki tatu hivi, nimerudi juzi so weekend hii nikawa kijiweni kwetu nikawa nachat na rafiki yangu anayefanya kazi serikalini ambaye ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.