Leo ni tarehe 10/10/2010.
Ni siku maalum katika mwaka huu wa 2010 sababu kila kitu kinaishia na kumi, kuanzia tarehe, mwezi na hata mwaka wenyewe. Siku hii haitokuja tena katika mwaka huu...
BAADA ya nguvu kubwa kufanikiwa kutuliza wimbi la ukatili dhidi ya albino, sasa balaa ya unyanyasaji limewageukia watoto wenye ulemavu wa kawaida, ambao wamejikuta wakivushwa hadi nje ya nchi...
Google Developing a Self-Driving Car And It Works
10.09.2010
9 comments
Google is developing - and has extensively tested - technology to build an autonomously self-driving car, Google...
Baada ya Ng'wanangwa kupost uzi wenye kichwa cha habari: "Kikwete Mgeni rasmi? Taifa stars itarajie kichapo", baadhi ya watu walichukia na kuanza kushabikia kuwa Ng'wanangwa awe banned kwa hoja...
HII NDOA ILILAZIMISHWA AMA NDIO MAMBO YA KUPULIZIWA SHEMEJI YETU JAMANI??
Mr. & Mrs Ndikumana wakivishana pete za ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar-es-salaam Jana
SERIKALI imeshauriwa kuongeza juhudi katika kutoa mafunzo, kwa walimu maalumu wa kufundisha watu wenye ulemavu.
Rai hiyo ilitolea juzi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sinza Maalum,jijini Dar es Salaam...
:alien:Hodi wanaJF! Jana tulijuzana kuwa Jaji Rugazia alipata ajali akiwa na Jaji mwenzie mke wa Makongoro Nyerere. Je alikuwa anaendensha gari la kijaji (J--) au la kwake binafsi? Kuna tetesi...
Gharama ya kura yangu
Ndugu Watanzania. Mwaka huu wa-Tanzania tumepata tena nafasi ya kufanya maamuzi magumu nchini mwetu, maamuzi ya kuchagua viongozi watakaokuwa na majukumu ya kutuendeleza...
Rehema Matowo, Hai.
BALOZI wa Ujerumani nchini, Guido Herz ameisifu Tanzania kwa kutokuwa na tatizo la ukabila akisema jambo hilo ni moja ya sababu kuu zinazoimarisha utulivu wa kisiasa.Balozi...
jamani leo katika pitia pitia yangu ya gazeti la michezo la bingwa kuna makala moja imeandikwa na mwandishi mmoja anaitwa ojuku abrahamu anazungumzia kuhusu wasanii anawashangaa hivi kwa meseji...
Wana jamvi nimepata taarifa muda mfupi kuwa FUSO la kubeba mchanga limegonga na kulalia watu waliokuwa kituo cha basi. wenye Taarifa kamili walio karibu na eneo la tukio
Nilitembelea huku jamii forum siku moja na nikapata website inayodownload wimbo wowote wa Tanzania unaoutaka, mfano nilidownload binti kiziwi mp3. naomba mnikumbushie hiyo website sikuserve...
kwenye matuukio mengi yanayopeleka kifo cha mwanadamu kuna kauli nyingi hutamkwa. swali au maswali yanakuja kama unaamini Mungu ndiye anapanga kifo cha mtu
1. unaamini kwamba anapanga pia namna...
The Church Of Satan
Just in case you haven't read any Satanic material before now, here is a quote from The Satanic Bible:
There is no heaven of glory bright, and no hell where sinners roast...
wakuu,
mamlaka ya ustawishaji makao makuu dodoma, CDA, lililoanzishwa kwa notisi namba 230 ya serikali ya tanzania ya tarehe 12 desemba, 1973; juma hili linasherehekea wiki lake kwenye viwanja...
Mothers are more critical of their daughters than their sons and let boys get away with more, a poll suggests.
The survey by the website Netmums found mothers were twice as likely to be...
Ndugu zangu naomba kuuliza huu utaratibu unao tumiwa na hizi shule za udereva (Driving Schools) wa dereva aliye mafunzoni kuendesha gari huku akiwa amepakia wenzake na kupita nao katika barabara...
Leo nimesikia huu msamiati ukitumika, ningependa kujua kama ni msamiati sahihi na kama matumizi yake kwa mukhtadha wa hapa chini ni sahihi.
Wenyewe wanasema mdororo wa uchumi duniani. Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.