Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu, Tanzania ni nchi nzuri na watu wake wana heshima ya ajabu... inasikitisha sana kuona mgeni anakuja, anatukana watoa huduma wetu na mengine mengi, lakini mara nyingi sisi kama watanzania...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Yale machungu yaliyojitokeza mwaka juzi Tabora kwa watoto kufa kwenye disco kwa kukosa hewa ....safari hii yamejitokeza tena safari hii wilayani TEMEKE ambapo watoto zaidi ya watatu wamekufa na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Time has come for us all to be at the forefront in achieving national development. This earth we are living is just a temporary home and once we are gone that’s it and no favors will be extended...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sad, sad, sad.... Tanzanians please wake up and kick CCM out. Free's many fees: School unaffordable in Tanzania MOSHI, Tanzania — To Josiah Mchome, a veteran teacher, nothing is more...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moshi (na Arusha?) mtu tajri huitwa "fogo". Akitokea Fogo ambaye ataamua kulipa "fidia" Watanzania wote ili "alete maendeleo" kwa "kuwekeza" kwenye ardhi yote ya Tanzania itakuwa sawa? Vipi kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimevutiwa na huu mradi ambao nilipokuwa Kenya hivi karibuni nilishuhudia ukianza kuonekana ni jinsi gani utaondoa tatizo sugu la msongomano wa magari kuingia na kutoka mji mkuu Nairobi. Ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtoto Sheikh Sharif Yusufu Mohammed Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, jana walipigana vikumbo kugombea kupata huduma ya mtoto mwenye umri wa miaka 12 anayeaminika...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Jamani mimi nimekereka kupita kiasi yaani nataka hadi kutapika kwa kukereka huko,siku hizi kuna tabia imezuka watu wanatangaza katika magazeti,mitandao kuwa wanauza vitu kwa mfano simu,kamera...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume mfupi kuliko wote duniani amepatikana nchini Kolombia akiwa na urefu wa sentimita 70 tu na uzito wa kilo 10. Edward Nino Hernandez wa nchini Kolombia ameingia kwenye kitabu cha rekodi za...
0 Reactions
0 Replies
19K Views
Ndugu wafanyakazi,KIKWETE ni mwamba kwelikweli. Ona hii:"WAFANYAKAZI HATA MGOME MIAKA 8 SINA FEDHA YA KUONGEZA MSHAHARA". lakini kwa wiki 2 za kampeni katoa ahadi za TRILION 42. Wafanyakazi, hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima daima, Mimi bwana ninapotakiwa kuongea mbele za wa2 roho (sijui moyo) ina (una)nidunda. Naogopa. Natetemeka wakati mwingine. Bali mazungumzo yanapochanganyia uoga wote unapotea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wpendwa kuna ma traffick hapa karibu na airport wao wako kama 7-10 wamekuwa wakijikusanya na kukaa nje ya geti la kampuni ya pepsi hapa kidogo karibu ya kituo cha airport kuelekea mjini...jamani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Jana kupitia TBC Taifa nilimsikia Mkulima mmoja wa Korosho akisema kuwa hawajui ni umbali gani unatakiwa uwepo kati ya mkorosho mmoja na mwingine wakati wa kupanda. Habari hii kwa kweli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Miaka Mitano Iliyopita Viongozi wa Afrika Walikubaliana kwa Kauli Moja Kuwa Ifikapo Mwaka 2020 KISWAHILI ndiyo itakuwa Lugha Kuu ya Afrika. Je Hilo Litawezekana??? na Je Tanzania Tunafanya Nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dear Customer. In respect to this email, we have been awaiting for you to contact us for the delivery of your Bank Draft of $800, 000,USD . (Eight Hundred Thousand United States Dollars)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi inachukua siku ngapi hawa watuwa RAIA MWEMA na MWANAHALISI kuweka habari mpya kwenye websites zao?? Tunanyimwa uhondo na haki yetu ya kupata habari sisi tusioweza kuaccess hard copies za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I was watching documentary called unreported world in channel 4 in uk. They said Chinese diplomats illegally purchased and exported ivory by misusing diplomatic immunity in 2009. full link and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtanzania mwenye asili ya Asia, Safina Khan, amefikishwa mahakamani hii leo huku Uingereza kwa mashtaka ya 'human trafficking' - alimleta mama wa miaka 47 kuja kumsaidia kazi za nyumbani lakini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Doctor who 'trafficked' Tanzanian woman is first person charged with modern-day slavery By Daily Mail Reporter 10th September 2010 A doctor has become the first person in the UK...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
eid mubarak to all my muslim brothers n sisters and may allah accept our fasts inshaallah n let not kill all the fadhlas of ramadhan within the first day of shaawal...lets remember thatno one is...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom