Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
...Hainiiingii kabisa akilini kuamini kwamba wasomi wote mlioko CCM mnakubali kwamba mikutano wa hadhara inatosha kuwaelezea wapiga kura wenu sera zenu...... Ni kweli au ndo mnaogopa Mzee...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mdogo wangu anauza viuma chakavu hapa jijini Dar.Mpemba ni miongoni mwa vijana wake wanaopima chuma ofisini kwake. Huyu mpemba alisema, pemba kuna viuma chakavu kibao. mdogo wangu akawapa pesa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nadhani trafiki wote wa jiji hili wangekua kama huyu katika uongozaji wa magari baaaasi folen ingekua haiumizi hata kidogo Huyu dada mara nyingi yuko hapa Ubungo mataa,yani yuko fast, akiwepo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikiwa Mbeya mwanzoni mwa mwezi wa sita Halmashauri ya jiji kupitia kwa mkurugenzi wake waliwataangazia wakazi wa Mbeya kwamba sehemu iliyokuwa inaitwa Stela farm (Iwambi) itagawiwa viwanja kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu nilibahatika kuona tangazo linalotangaza chuo kikuu kimoja maarufu sana hapa nchini kwetu. Tunaweza kuchangia mapungufu yaliyomo kwenye attachment ambayo ni picha ya bango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Dove World Outreach Center, a non-denominational church founded in Gainesville, Fla., in 1986, has outlined its plans on its website and Facebook page. It says the burnings will be held on...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu kwa wenye uzoefu, Je mtu akiwa na Tshs. 100 milioni anaweza kujenga nyumba ya vyumba 4 ya ghorofa moja?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKUU kuna tatizo kubwa la mtandao wa TRA kwa zaidi ya siku tatu sasa na watu ambao walikua watoe mizigo tokea juzi hadi sasa wamekwama na watalazimika kulipia storage wenyewe na hata kupata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watanzania wengi sana wanaonewa na kunyanyaswa na wawekezaji kutokana na wawekezaji kubebwa na watawala. Katika hali ya kawaida, siyo kawaida mtu aende nchi ya ugenini halafu akawafanyie...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Profile: Name: Mwakibete, Jacob Born place: Mwakaleli, Mbeya Born date: 20 June (nimetunga tu hapa) Hometown: Seoul, Korea Hivi mtu kama huyu unamwelewaje? Mtu kama huyu ukimtajia neno 'NDUKI'...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi naomba kuuliza kwanini tumekuwa tukitozwa kodi mara mbili katika bidhaa moja na katika nchi moja??Mathalani unanua gari Zanzibar unalipia ushuru wote TRA zanzibar lakini ukija na basi pale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama mmoja wa wahusika basi fika airport kuna hili gari limedampiwa na mwenyewe sasa mwezi na wenyewe kiwanja wanafikiria kuliwakilisha kituo cha polisi sasa kama mjuuavyo wote n binadamu gari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I came across the following interesting piece and thought I should share this with you: Almost always electorate confuses general elections with popularity contests. We usually forget that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Slaa: Mimi mtu makini sitendi kwa kukurupuka • Asema CCM imepanga kuibua uongo mpya dhidi yake na Mwandishi wetu, Meatu MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA watu wengi wa jamii za Kiafrika hudhani kwamba mtu kuandika au kutoa wosia juu ya mali zake, ni mkosi na anayeandika anaonekana ni mtu anayejichulia au kujitabiria kifo. Hata hivyo, hiki ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikiwa ni msomaji wa makala ya mwandishi nguli ndugu Johnson Mbwambo napenda kumpa pole na kumtakia afya njema,nimesikia kuwa anasumbuliwa na maradhi ya moyo,namuombea apone haraka ili arudi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi nimekuwa nikiangalia tv za kibongo kweli hawana wabunifu wa vipindi linachonishangaza nipale Channel zote kutekwa na michezo ya Amerika kusini hivi unataka kuniambia hapa africa hakuna...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
The smallest monkey in the world is only about 15 cm tall..... Native to the rainforests of northern South America, the pygmy marmoset tops out at an adult weight of approximately 4 ounces! They...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom