Wana bodi,
Yule mwana mpotevu kwa jina la 'KULIKONI', (Gazeti), amerejea rasmi nyumbani asubuhi ya leo, kwa kumkuta amejibanza tena kwenye meza za magazeti, hivyo kuufuta ile dhana kuwa...
Na Hidaya Kivatwa
Mkazi wa Kimara Abduswamadu Shabani (25), mwalimu wa shule ya kiislwamu (madrasa) ya king'ong'o amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Kinondoni kwa tuhuma za...
Hivi nyie akina dada mimi siwaelewi na mitindo yenu ninani anawashika masikio??
Mfano naanza na pochi walikuwa navipochi vinaitwa kipima joto vidogo!sikuhizi unakuta mwanamke anapochi yakubeba...
Mwana Jamii Forum mwenzetu anayejulikana kwa jina la Azikiwe, jana asubuhi alinusurika kifo baada ya kukumbwa na ajali mbaya.
Alikuwa akiendesha pikipiki ndipo alipogongwa na gari na...
Dawa za serikali huibiwa barani Afrika
Wagonjwa wa Malaria
Wagonjwa wa Malaria
Matokeo ya utafiti umethibitisha kuwa dawa za kutibu ugonjwa wa Malaria, zinazotolewa kwa nchi kadhaa barani...
source:raiamwema
Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda
Mwandishi Wetu
Septemba 1, 2010
Rais Paul Kagame wa Rwanda hivi karibuni alipata ushindi mkubwa katika uchaguzi...
"Mambo ya SERIKALI hayo.....hehehe inafurahisha sana! kumbe hela tunazo eeh"
Na Boniface Meena
Kampuni nne za miradi ya kuchimba madini zimefanikiwa kupata mkopo kutoka SERIKALINI kupitia...
Naomba niweke maona ya ya mtoa hoja kama nilivyoyapata.
TANZANIA: A COUNTRY ON THE BRINK OF DISASTER
BIASHARA DENISS PERSPECTIVE
One of the reasons why on 1st of August I caught a...
Angalizo: Fungeni CCTV kwenye parking lot and common areas. Wizi kama huu hapo chini kwenye picha inaharibu dhana nzima ya kuwa na 'malls'. Wapeni wateja wenu imani ya usalama kwani mteja ni...
Shule hiyo kongwe ya wasichana iliyoko Bukoba imeungua tena usiku wa kuamkia leo
chanzo ni mfumo wa umeme kuwa wa zamani
wanafunzi 7 wameungua vibaya wamelazwa hospitali ya mkoa Kagera
hii...
Wanajamii Poleni sana na mishe mishe za kila siku, Ninachowaomba waungwana hapa ni aina gani ya rangi ambayo naweza kupaka ndani ya nyumba ikawa na mvuto ( decent color) maana ninavyojua ni kwamba...
Mkate wa muhogo
Na Rashid Kejo
KWA wakulima wa zao la muhogo wa mikoa ya kusini hususan Mtwara, wanaelewa fika habari ya matumizi mbalimbali ya zao hilo ukiacha kuchemsha, kutafuna au...
Mfano wa madini aina ya Rubi
Sadick Mtulya
WAKATI Wizara ya Nishati na Madini, ikiwa imetoa leseni ya uchimbaji madini ya rubi, eneo la Mtakanini Winza, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, uhalali...
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, imeteketea kabisa kwa moto, jana usiku wa manane, na asubuhi hii, pamebakia kuta tupu na bango linaloonyesha hapa ndipo zilipokuwepo ofisi hizo!.
Taarifa hii ni...
Shalom Waungwana. Tafadhali sana naomba kwa yeyote mwenye email za watu hawa anisaidie:
James Mbatia - Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe.
Mustafa Sabodo - Mfanyabiashara.
Mohamed Dewji - Mbunge wa...
ndugu zangu wana JF, naombeni mnifahamishe nini natakiwa kufanya ili niweze kupata mtaalamu wa kuandika michanganuo ya biashara, lengo langu ni kuweza kupata mkopo mkubwa niweze kufungua biashara...
matangazo haya maarufu kwenye tv yanayodhaminiwa na "watu wa amerika" , sasa yanatangazwa magazetini kwa njia ya picha za wahusika wale wale wanaotumika kwenye tv na kuandika maneno...
Hawa watu wa zain wametutangazia offer kubwa kwenye kipindi hiki cha mfungo kwamba sms,kupiga simu na internet ni bure kuanzia saa 6 usiku hadi 11.59 alfajir...kwangu mi ni huku kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.