Nduguzetu
tunajua mko katika pilika pilka za kuimarisha kampuni kwanza sitokuwa mchoyo kusema hongereni
kwa kupata hiyo ndege mpya...nimesikia inaishia bukoba well si mbaya wakina wagera waitu...
JAMANI
Najua hili neno 'WEZI' litaleta mtafaruku lakini huo ni unafiki mtupu ...Nimekuwa nikijiuliza,asilimia kubwa ya wabongo ,tuchukulie mfano wafanyakazi wa serikali ukiwauliza kuhusu maisha...
Waungwana;
Nimekuwa natatizwa na jinsi huduma zinavyotolewa kwenye taasisi (hasa za umma japo na za binafsi nimeona kitu kile kile). Hivi huwa tunajiuliza mantiki ya kufuata utaratibu fulani...
Hivi haya matangazo ya zantel ni mimi mwenyewe huwa yananitatiza ku-ipata message yao mapema au hata ninyi wenzangu? maana jinsi tangazo zinavoanza hadi kuishia ...mwanzoni unakuwa hujui kama ni...
Mkutano wa ulioitishwa na SHIWATA aka "SHIWATA DESI" ambao waliwaahidi kuwapatia viwanja vya bei ya "mteremko au bwerere" Mkuranga na Kisarawe unaendelea hapa AFRI-CENTRE Ilala umesusiwa na wale...
Karibuni sana pale Mlimani city, Kama unahoja iwahusuyo wahandisi hasa wazlendo unakaribishwa sana ni kwa muda wa siku mbili tarehe 2 na 3 mwezi wa 9 mwaka 2010
Wote hawa ni mkoa wa Tabora. Jamani unganeni muangalie mkoa wenu wa tabora na wilaya zake. Uko nyuma sana na nafasi mnazo. Usipojenga kwako nani atakujengea? Unganisheni Kigoma na Tbr kwa barabara...
Wana jf, mimi ni mjasiliamali mdogo ambaye ninamiliki maduka mawili(2) ya dawa baridi, nahitaji mjasiliamali ambaye yuko tayari tuungane ili tuweze kufungua pharmacy,
aliye tayari tuwasiliane...
Hakijaeleweka ni nini, lakini miungurumo mizito na vumbi lililochanganyikana na moshi vimetanda angani na kuleta hofu kubwa Maeneo ya Kigamboni.
Mwenye taarifa rasmi za kinachojiri atujulishe.
Jioni ya leo katika radio ya pashen fm huwa kunakuwa na kipindi nimekisahau jina. Wapo watangazaji watatu; wa kiume mmoja na mabinti wawili wenye sauti nyororo. Kilichoniboa kuhusu wote watatu ni...
Ndugu zangu naomba niwahabarishe kwamba ndege ndogo iliyokuwa imebeba watu wanne imeanguka mara baada ya kupaa kutoka katika uwanja wa ndege wa Sumbawanga, leo mnamo saa kumi kasoro jioni. Kizuri...
Wakubwa
nimepitisha hoja hii kwenye jukwaa hili,baada ya kutafakari kwa muda mrefuu juu ya mwamko wa mabadiliko ya kidemokrasia hasa kwa nchi kama Tanzania.
Ukisoma mitandao ya niternert,vyombo...
Ndugu wapendwa waweza kuona dunia kila mtu anakuchekea baya ujui nani anakupenda ktk hao wanaokuchekea..
majana kulikuwa na misukule iliochukuliwa na mapepo kwa uweza wa mungu walirudishwa na...
wakuu katika juhudi za kukwepa daladala nimeagizia gari ndogo sedan ya mwaka 2001.
nataka kujua viwango vya charges mbalimbali kama
(1) Shipping line charges
(2) Registration charges
(3) port...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete jana aliendelea na mikutano yake ya kampeni katika mikoa ya Katavi, Rukwa na Mbeya ambapo wananchi walimpa matumaini makubwa ya ushindi lakini...
Hivi karibuni idara ya zimamoto imeanza kutoza/kuuza sticker za zimamoto kwa viwango mbali mbali kulingana na ukubwa wa gari. Bei ya chini ya sticker ni 5000/= kwa gari ndogo[saloon] na kuendelea...
HOUSE FOR RENT
Natafuta wapangaji wawili wa muda mfupi yani mfano mtu anayekuja from another country anakaa TZ for like 2-3 weeks or a month or two ambaye hataki kukaa hotelini
Facilities...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.