Hi everyone. I am a proud customer of a US based webhosting company called Siteground, for two years now. For some time now, they have been giving out several offers that I can share with friends...
Wakereketwa wenzangu vipi kuhusu lile swala la mfuko wa taifa wa bima ya afya? Huu ndio wakati muafaka wa kufichua uzembe , ulaji wa pesa za wafanyakazi wenye kipato kidogo na unyanyasaji...
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa...
wakuu salaam!
naomba kufahamishwa,mimi ninajua kuwa afya ya mgonjwa ni siri ya mgonjwa na Daktari wake!kama ndivyo,je na halali kwa watanzania kutaka kujua hali ya afya ya rais wao!au hiyo ni siri...
KWA UCHUNGU MKUBWA TUNAUTOA MALALAMIKO YETU KWA SERIKALI, WAFANYAKAZI WA VYUO VIKUU TULIPATA WARAKA UNAOONYESHA KUWA MSHAHARA UMEPANDA KUANZIA JULY 2010, LAKINI CHA AJABU HATA SALARY SLIP...
29 Structural & Civil Engineers Cite Evidence for Controlled Demolition in Collapses of All 3 WTC High-Rises on 9/11
More than 700 architects and engineers have joined call for new...
Wakuu nna hasira na TANESCO
Jana nilipitia kununua LUKU maala fulani, nilinunua umeme wa 10,000/- lakini ajabu risit ilionesha kuwa nimestahili umeme wa 5,800/- tu ambazo ni kama forty something...
Shirikisho la soka Tanzania TFF, limesema endapo klabu za simba na yanga zitasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara zitashuka daraja.
Timu hizo zimetishia kugoma baada ya kupewa kipato kidogo baada...
Nilikuwa nasoma majadiliano ya Wamarekani juu ya kupotea kwa ghafla kile kilichoitwa traffic jam ya kufa mtu ya China ya siku tisa. Nikavutiwa na majadiliano hayo; jambo lililonishtua na...
Wapendwa
kuna basi zinajiita dar airport shuttle kutoka airport kwenda sehemu zingine na mjini nimeona wanaishia ATC HOUSE...nimejiuliza huu ni mtaji wa nani...na kama ni biashara kwa nini...
Nasikitishwa na taasisi za hap kwetu kuna taasisi inayojishughulisha na kudhibiti vifaa visivyokuwa na viwango vinavyotakiwa hii taasisi sioni umakini wake tena imeteuliwa na Rais ni kamisheni...
ASILIMIA 12 tu ya Watanzania ndiyo waliounganishwa na nishati ya umeme kutoka katika mfumo wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).
Karibu asilimia 90 ya wananchi hawatumii umeme kwa sababu...
Nimekuwa msomaji wa magazeti mbalimbali nhini hasa yale yanayoandika habari za makala. nilichokuja kubaini ni kwamba baadhi ya magazeti hayo yaliibuka mwaka jana na yamekuwa yakipambwa na vichwa...
Wapendwa
kwa wlaioona jana taarifa ya habari ya tbc kesi ya jerrymuro imezaa kesi nyingine juu yake baada ya mshitakiwa aitwae deogratias kusema aliitwa mbele ya mkuu wa upelelezi kanda ya dar es...
Huwezi kufuturu pesa ya ufisadi, swaumu ikawa safi
Mpayukaji wa Msemahovyo
Assalaam Alaykum Wallahmatullillahi Wabarakatu mliofunga na ambao hamkufunga.
Baada ya kuwaamkia sasa naomba...
Kwa mujibu wa vyombo vya habari, wakati Rais Kikwete alipoanguka kwenye uzinduzi wa kampeni pale Jangwani, Mchungaji Rwakatare alifanya maombi na wafuasi wake. Kufanya maombi ni sawa lakini hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.