Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hivi unajua Kuna taasisi zitoazo huduma kwa umma wa Tanzania, ambazo zinatoza customers kwa USD? . Hii inapingana na kauli yako uliyoitoa hivi karibuni kwa kusema quotation katika USD si tatizo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
IMEFAHAMIKA, kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Kwa mujibu wa gazeti la ‘ The...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwanamama huyu anaefanya shughuli ya kuombaomba mitaani mkoani Arusha,leo ameipata fresh baada ya kutembezewa mkong'oto na kina mama wenzie wa mkoani hapo kwa madai kwamba anawadhalilisha kina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ilikuwa ni baada ya kumaliza paper ya mock (Form Four Mock Examination)miaka kadhaa iliyopita! Baada tu ya kumaliza paper, nikajiona kama mkataba wangu na mambo ya skonga ndo ushaisha! Wiki...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
TANZANIA: Women caught in crossfire of HIV battle Photo: Flickr Creative Commons Community...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MEDIA RELEASE RwandAir takes delivery of its second Boeing 737-500 Carrier set to start operations into Kinshasa and Dubai via Mombasa. Johannesburg daily flights now possible. August 20...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa nafuatilia kipindi cha kipima joto ndani ya ITV leo, ambapo swali lililokuwa likijadiliwa ni 'kukithiri kwa ujambazi wa kutumia silaha nchini' Studioni alikuwepo mwenyekiti wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hongeraa. Hapo kwenye bold naomba nikusahihishe kwamba mnatoa elfu 53 cash na siyo laki moja. kama umepewa na receipt basi ada itakuwa imepanda. sisi wa mwanzo tulilipa alfu 35, waliokuja awamu ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MKUU wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Charles Mkumbo amekanusha kumshurutisha mshitakiwa Deogratias Mgasa kutoa maelezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndala ama kandambili kama zinavyojulina na wengi, humsitiri sana mtu aingiapo msalani, kwa kawaida anayejua vizuri umuhimu wa afya yake hawezi ingia msalani bila kandambili, je CCM imetusitiri...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ebu tazama video hii na utoe maoni yako
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna tangazo moja la zain limefanywa na Kibonde ambalo naona ni wazi limekaa sana kimipasho yaani kuponda huduma ya mshindani wake. kwa nini wasiinadi bidhaa yao bila kutaja au kukosoa vya wenzao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipe mawazo Nimejenga nyumba yangu,sijavuta umeme. Nimekwenda TANESCO wakaniambia kuwa natakiwa nguzo tano na kila nguzo ni tsh 400,000 hivyo jumla ni tsh 2m na gharama ya mita ni tsh 460,000...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Smart thinking, isn't it? Enjoy your day Leo Mhhh! PARE MIND A PARE man walks into a Barclays Bank in DAR ES SALAAM City and asks for the Loan Officer. He tells the Loan Officer that he...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani huu ni unyama wa hali ya juu na wala siyo kumfunza mtoto tena.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Umehamia katika nyumba ambayo LUKU ya umeme imechezewa. Pia katika nyumba hiyo kuna wapangaji wengine wawili ambao mnatumia kwa pajomaja hiyo Luku. Na kwa utaratibu waliouweka ukakuta kuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtoto wa Kingunge kortini kwa wizi wa mil. 400/- na Happiness Katabazi MTOTO wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Kombale - Mwiru, Tony Mwiru (36), jana alifikishwa katika Mahakama ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kulikuwa na habari kuwa wasanii wameuziwa viwanja kwenye kijiji kimoja huko Kisarawe.. kumbe ni soga tupu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Lini wana JF tusioridhishwa na utawala wa JK tutashika mabango na kuandamana kuupinga utawala huu ulioshindwa kufanya kazi tukimtaka aondoke pale magogoni? Aachie ngazi.
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Huyu jamaa sjui anamfahamu kweili au labda ni chuki binafsi/wivu tu. Anadai alizaa mwaka 2002 ni mwongo alizaa mwaka 2000, mimba alimsingizia Fadhili wa Mererani, akamwoa baadaye alimwacha kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom