Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu nimeona niwashirikishe kisa cha kweli kilichotokea hivi karibuni, ili kisaidie kufanya maamuzi sahihi wakati wote. Dreva wa magari yanayo safirishwa nje ya nchi kupitia bandari ya Dar es...
1 Reactions
48 Replies
23K Views
Tafadhali fungua attachment ujionee mwenyewe tofauti kati ya J.K Nyerere na Jakaya Mrisho Kikwete
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna taarifa ambayo haijathibitishwa kuwa kuna mapigano makali mjini Monduli mkoani Arusha yaliyotokea jana kuanzia majira ya jioni. Mapigano hayo ni kati ya Polisi na wamasai.Mtoa habari ameeleza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na msimamo wa vyama vya wafanyakazi afrika ya kusini juu ya msimamo wao wa kudai maslahi yao bila kuogopa vitisho,liwe somo kwa tucta hasa wakati huu,wao wanataka kura nanyi mdai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello Members, I urgently require to get into contact with any Tanzanian in Australia. Will much appreciate any response! Thanks
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wana JF, possibly mimi nimekuwa aidha ignorant sana au pessimistic mno. Kuna hawa vyura wanaozaa watoto wazima, walipelekwa Marekani mwaka 1999 kwa gharama za serikali, na awamu yao ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Siku hizi mavazi ni ya aina nyingi sana, hakuna sheria wala mpangilio, kila kitu kinachovaliwa ni ubunifu wa mtu fulani, na lazima kuna watakaokubali na watakaoshangaa au kuchukia. Naomba tushee...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TUKIKUMBUSHIANA JINSI WAZEE WETU WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALIVYOTAABIKA NA MADAI YAO,KAULI YA VITISHO YA JK KWA TUCTA,HALI NGUMU YA MAISHA,MFUMOKO MKUBWA WA BEI,ONGEZEKO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
abiria 130 wanusurika Send to a friend Tuesday, 17 August 2010 21:35 Ndege iliyoanguka bila kusababisha kifo cha abiria waliokuwa wakisafiri Andrew...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Katika peruzi peruzi kwenye mtandao wa Raia mwema nimekutana na Makala hii amabao nikaona si vibaya nikashirikiana na wenzangu kuisoma. Kichwa cha habari kinakwenda kwa jina ili: Kwa nini kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msemaji ikulu agoma kuongea MABILIONI ya shilingi yatachotwa kutoka serikalini kugharamia kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fedha hizo zitagharamia utengenezaji picha zitakazotumiwa na CCM...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza naingia uwanjani natumai nitafurahia michango yenu nanyi kufurahia michango yangu hasa katika kipindi hiki cha kuelekea october 2010 Regards kwa wote Ni mimi Kidundulima
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajamvi Mara nyingi tunaongelea mafanikio na mapungufu ya mashirika, viongozi wetu wa siasa dini, ofisi. Tunaongea matatatizo yakwenye mahusiano. Je sisi tuna ujasiri za kujitazama kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A man has been killed in India after the mobile phone he was using exploded, according to reports. The victim, named as 23-year-old Gopal Gujjar, suffered serious injuries to his right ear, neck...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Na Grace Ndossa MIPASHE,Agosti 18 2010 "Serikali imeagiza ndege, kutoka Kenya kwa ajili ya kunyunyizia dawa,katika bonde la Mto Msimbazi ili kuuwa mbu walioenea katika Hospitali ya Taifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Alistair Foster 17.08.10 Tricky job: firemen push the burglar into the house after using bolt-cutters A burglar had to be freed by firemen after getting stuck in a window for six...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habarini za asubuhi? nina blackberry yangu 8310 curve nilitumiwa toka Canada ,toka nimetumiwa mwaka jana sijaweza kuitumia kwani inasumbua kwenye network ina potea na kurudi na hata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie kama kuna mwenye ile ratiba inayoonesha muda wa kufunga na kufungua katika mwezi wa ramadhani naomba anisaidie please.
0 Reactions
12 Replies
21K Views
Tanzania domestic revenue collection reaches $300m monthly By MIKE MANDE The EastAfrican Tanzania’s domestic revenue collection has reached $300 million per month this year compared...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Naomba kupata ufafanuzi,hivi kuorodhesha ukabila wako kwenye vitabu vya wageni kwenye hotel na Guest house hapa Bongo ni kwa ajili ya kazi gani. Kwa sababu ukitazama history ya vita vya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom