Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani napenda kuuliza hawa jamaa wa TIGO mbona hatangazi kwenye magazeti washindi wa zawadi mbalimbali za JIKOKI? Jana walisema watamtangaza Mshindi wa Mil 100 mbona sijaona kwenye magazeti?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Prof. George L Wajackoyah for 2012 President The first Diaspora presidential candidate Prof. George L Wajackoyah talks to Luvei Times about his intentions to succeed retiring President Mwai...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MKUU wa Shule ya Sekondari ya Matimila Isdory Mrema (45) iliyopo mkoani Ruvuma amejiua kwa kujinyonga baada ya kukamatwa na kisha kuachiwa kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa dada yake . Kamanda wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ron Paul Backs "Ground Zero Mosque," Splitting with Son Rand Ron Paul (Credit: Carlos Osorio) Libertarian Congressman Ron Paul is breaking with many of his fellow Republicans - among them his...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Punde kidogo nlikuwa nasikilizaJahazi... Kayanda anabishana na Kibonde kushusu udhaifu wa watz unasababishwa na kutojua kiingerea au lugha kubwa... Mwenzake anashikilia muhimu ni uwezo na si kujua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
A woman worries about the future until she gets a husband. A man never worries about the future til he gets a wife.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Posted on 20. Aug, 2010 by CDN in Tanzania Christian university students on the Tanzanian island of Zanzibar, a predominantly Muslim area off the coast of East Africa, have been denied the right...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale waliomfaham mpiganaji, mwanaharakati, mwanayanga na mfanyakazi wa chuo kikuu udsm ndugu costantine maligo, aliaga dunia siku ya jmosi kutokana na shinikizo la damu. Tulimuaga rasmi pale...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu. Nimepata taarifa kwamba Serikali ya kijiji eneo la Bgmy bara2 ya kuelekea mbuga ya Saadan imeamua kugawa kwa wananchi pori lililokuwa linamilikiwa na Sekarb kwa bei ambayo...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Jamani Kuna hili naona kwangu nigumugumu sana naomba niwaulizeni wakuu ndani ya JF! Wewe unajirani yako najirani yako amefuga MBWA siku moja unarudi nyumbani kwako na hupo drishani kwako,mara...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ndiyo maana ya mwisho wa Dunia? Maana wachungaji wamekaza sana kula Kondoo! Priest charged with swindling woman 10.8m/- (Daily News | Priest charged with swindling woman 10.8m/-) A...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naandaa Semina kwa washiriki kama 60 hivi. nataka maswali kama 10 hivi ninayoweza kuweka kwenye Evalutation form hivyo mwenye mawazo ya masawali aniwekee hapa,kama hujui acha message hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu wote heshima mbele natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
I am coming up to 25 and am sick of people saying to me things like: 1. Quarter of a century. Time is getting on now. You need to be thinking about settling down and kids. 2. No longer a young...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu jana Kuna tukio nimeliona Mtaani kwetu muda wa usiku wakati narudi nyumbani mpaka saa hii nashikwa na mashaka sana kuhusu usalama wa raia na mali zao maeneo kadhaa nchini haswa yale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuta ndio mazungumzo ya Jenerali Ulimwengu kwenye Sibuka FM kipindi cha crossfire ndio yanaishia,kwa hakika Jenerali Ulimwengu kweli ni Jenerali,katika mazungumzo yake kaelezea mengi kati ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
POLISI WANAWAKE TOKA UK WATOA MAFUNZO KWA POLISI WENZAO WA TANZANIA Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM JUMANNE AGOSTI 24, 2010. Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
* Wananchi wenye hasira wamemuua na kumchoma moto kijana mmoja aliyetuhumiwa kuiba piki piki, . Tukio hilo limetokea katika eneo la kimara Mwisho pembezoni mwa barabara iendayo Morogoro...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
haya yalikuwa majibu ya Mh. B Obama alipoulizwa kuhusu Donnie McClurkin YouTube - Obama is asked about Donnie McClurkin
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa Kwako mama MUNYAGI kila mtu anathamani kazi yako uchapakazi wako na uadilifu wako lakini pengine hili yawezxekana ulijui ama kuna wachafuzi hapo TCAA wanakuchafulia kazi zako. Kuna...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom