Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Maisha ya mwanadamu hayazidi miaka 70 wachache kuenda hadi 100 kwa wale waliojaaliwa kuishi umri mkubwa, achilia mbali life expectancy ambayo kwa Watanzania kufuatia UKIMWI kuwa tishio na...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Zamani wachungaji walikuwa wanawalinda na kuwaongoza kondoo. Siku hizi wameamua wenyewe kuwala kondoo Mwalimu mbaroni kwa rushwa ya ngono TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa, Baada ya kufanya kazi kutwa nzima sasa ni muda wa kwenda kupumzika na kuianza weekend kwa furaha, kwani naamini bado tumebakisha vijisenti vya kale ka-salary. Twendeni pale nanihii...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jana kwa wale wanaopenda kusikiliza kipindi cha PB cha Radio - Clouds FM, Gerald Hando alivyokuwa akiwahoji vijana wa CCM waliopita katika kura za maoni akiwemo January Makamba walivyokuwa wakitoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii imetokea mchana wa leo. Jirani yangu ana mtoto wa miezi minne ambaye huachwa na yaya. Yaya ana tabia ya kumuacha mtoto na kwenda kurusha roho na mume wa jirani yetu, nyumba ya nne toka nyumba...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu mliopo Mbeya au Tukuyu,nimesearch mtandaoni na kuona baridi kali 4-8 Centigrade.Pale Uporoto si itakuwa 0 Centigrade? Hapa DSM tu hapalaliki, tupeni habari sehemu nyingine,Arusha,Lushoto,Iringa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya TBC1 jana jioni inasema maziwa ya kopo yanayotumiwa kuwapa watoto imegundulika kuwa inawafanya watoto kuanza kuota maziwa wakiwa wadogo sana kutukana na virutubisho...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kwa wanachama wote na wasio wanachama wa JF kwa ujumla yaani wale ambao bado hawajajiunga ila wanasoma JF, nina ombi moja fupi sana kwa wote. Jumamosi hapa Warsaw, nitakuwa nina kipindi cha saa...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
MUST READ!! For those of you who heard it, this is the article Dee Lee was reading this morning on a New York radio station. For those of you who didn't hear it, this is very deep. This is a...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MKAZI wa jijini Dar es Salaam anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50, amelipa faini ya Sh30,000 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa uume hadharani, kumlowesha kwa mbegu za kiume, abiria wa kike...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hodi Hodi wana JF nabisha mie, mwanikaribisha?
0 Reactions
2 Replies
883 Views
kama kuna mambo magumu kuyameza hapa jijini basi ni hili la maji HAPA boko KWENYE Nyumba ZA mradi zilizojengwa na NHC kwa msaada wa mashirika ya kimataifa na kuziuza kwa wananchi kwa bei...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Je kuna ubaya gani kushea user id ya Jamii Forums mimi na mchumba wangu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MGOMBEA urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amekuwa gumzo ndani ya CCM kiasi kwamba mwenyekiti wa chama hicho tawala, Jakaya Kikwete na katibu wake mkuu, Yusuf Makamba walishindwa kujizuia kutumia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kumekuwa na matangazo mikoani ya nayohusu wananchi kujitokeza kwa ajili ya mdahalo au semina SEHEMU ELEKEZI, iliyoandaliwa na EWURA pamoja na TANESCO ili kujadili kuhusu ongezeko hilo la umeme...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimepata hii nimeona bora tushee kujua hili ili tupate afya na nguvu ya kuitumikia nchi yetu vyema.... Health Related topics: Healthy living Your...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza wakuu mimi najua Jahaz lilikuwa zuri sana wakati linaanza pale walipokuwa wakianza nakibwagizo cha Captaiiiiiiiin!!!Nainafatia habari za magazeti na porojo za hapa na pale!!Lakini sasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tafsiri ya maamuzi magumu ni pana,ila hapa nataka kuzungumzia uwazi wa jk kuwaambia watanzania ni kivip aliingia madarakani uchaguzi uliopita,akili kuwa yote mabaya watu wanayoyaongea kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Najua badhi yenu ntakuwa nimewakumbusha kitu. Twende twende kichwa kama boga. Twende twende ukomaa hadi ukitema mate yanadunda twende twende mikono kama mchimba makaburi Haha haha haha zama...
0 Reactions
77 Replies
11K Views
Back
Top Bottom