As about 15 million cell phone users in Tanzania join nearly 4billion global mobile phone subscribers, the long hidden truth about the health dangers caused by the devices is finally coming out...
Wakuu,
kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, simu za mkononi, almaarufu selula, ni vifo mkononi. Miongoni mwa athari zitakazofanya siraili aanze kukubipu wewe mtumiaji, ni matokeo ya...
Napenda kutoa tahadhari kwa wale wote wanaotumia usafiri wa pikipiki katika maeneo yenye shida ya usafiri ambako hakuna usafiri wa uhakika kuwa tujihadhari na waendesha pikipiki ambao wamebuni...
Unajisaidia kwenye choo cha passport size,
mlango wa gunia, katikati ya haja yako nzito,
upepo mkali uje upeperushe gunia, je utaficha sehemu gani ya mwili?
I would like to ask PCCB to investigate the frequency and amount of withdrawal of cash from local banks by those who were seeking nomination to vie for the next election as MPs and Councillors. It...
Habari za huakika nikwamba dawa za kutibia mtu aliyeng'atwa na mbwa hakuna nchini baada yakutoke mgonjwa kufariki juzi Mhimbili kutokana na kung'atwa na mbwa!Baada yakwenda MSD Nakuambiwa dawa...
Siku ya kwanza nilidhani ni maandamano ya public ceremony or something. Then kesho yake makelele hivo hivo. Hivi tv na redio za Arusha zinafanya kazi gani kama kila tangazo kwa wanajamii lazima...
Kuna maneno tunayosemaga tukinyenyekea ajira kwa mfano I, me, myself, I swear, I can work and die under pressure. If u believe me want plz offer letter me. mtu akiwa desperate anatafuta kazi na...
Ndugu zangu wana JF, imenisikitisha sana kama haya yaliyoandikwa na gazeti la Mwananchi toleo la tarehe 10/08/2010( ISSN 0856-7573 Na 03704) likinukuu maneno yaliyosemwa na katibu mkuu wa...
Mosi, Hii Kesi dhidi ya huyu jamaa imefikia wapi? Pili, je kuna kanuni na sheria zimewekwa kuhusu ajira za wadau wa elimu ya chekechea na shule za msingi hapa Tanzania? Unaweza kuta shule nyingi...
nimeiona ktk blogu flani hapa...kazi ipo
Mkuu wa kazi Michuzi.
Nakusabahi..
Kwa heshima na taadhima naomba unifikishie ujumbe huu kwa wadau. Hili jambo sio mara ya kwanza kutokea na kuripotiwa...
there is endless debate in the west with scientist and various stakeholders providing evidence that the world is overpopulated and another camp providing counter argument of its own, these...
Raia wa Tanzania wanaosafiri na ndege ya Oman (yaani OMANAIR)toka Dar es salaam wafikapo muscat hawaruhusiwi kutoka nje ya uwanja wa ndege hata kama wana long stay on transit.
Kutokana na...
A Russian man has died in a competition in Finland in which contestants sit in a sizzling hot sauna, aiming to endure temperatures topping 110 degrees celsius, above boiling point.
Vladimir...
Chini ya amri ya mfalme Mswati, waziri wa sheria na rafiki wa karibu wa Mfalme Mswati, Ndumiso Mamba ametupwa jela baada ya kukamatwa kitandani hotelini akimla uroda malkia wake, Nothando Dube...
Kinyanganyiro cha kuwania ubunge kinachoendelea ndani ya CCM kimeibua mengi yakiwapo rushwa iliyokithiri pamoja na watoto wa vigogo kuamua kuwafuata wazazi wao ndani ya uongozi.
Kuna idadi...
Wakuu naomba niulize na nielimishwe hivi vunja jungu lina umuhimu gani tunapokuwa tunakaribia mfungo wa ramadhani?au maana yake hasa ni nini?
Na kama halina maana kwa nini wanamziki na wanaoandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.