Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
By SEBASTIAN MRINDOKO, 9th August 2010 @ 12:06 DAILY NEWS THE outgoing management of the Tanzania Railway Limited (TRL) has been accused of duping the government and obtaining massive funds...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeangalia hii taarifa na kubakia na maswali; maswali mengine hata naogopa kuyauliza maana naweza kuambiwa natukana bure.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
YouTube - ‪Rod Stewart - Sailing‬‎
0 Reactions
0 Replies
851 Views
alipokuwa upinzani tambwe hizza aliwahi kutamka kuwa kama akirudi ccm basi alale na mama yake,kwa mila za kiafrika hilo ni tusi na laana kubwa,sasa tambwe yupo ccm ametokea upinzani,je tambwe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kenny EasterdaySunday, April 04, 2010 4:18 AM Mwanaume wa nchini Marekani maarufu kama 'Half Man' ambaye maisha yake yote amekuwa akiishi akiwa na nusu ya mwili wake tu kuanzia kiunoni ametamba...
0 Reactions
6 Replies
14K Views
Nimekuwa nikijiuliza bila majibu kuhusu usahihi na ukweli wa takwimu zinazotolewa na taasisi zetu za umma. Nikiwa mdau katika soko la kuuza na kununua fedha za kigeni, nimeshindwa kuelewa ni vipi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa, Mimi ni baba mtarajiwa ambapo mungu akijalia mwezi ujao basi na mimi naanza kuitwa baba au Dingi / Mshua kwa lugha za kisasa. Kati ya mambo mengi niliyopanga kumfanyia mwanangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi hatuwezi kujenga majengo marefu bila ya watu kufa? Vifo vya ajabu kabisa, havielezeki. Na kibaya zaidi ni kwamba wenye majengo yaani wanaona kama amekufa mbuzi tu. Utasikia wanatoa rambirambi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MAKALA HII ILITOKA KWENYE GAZETI LA RAI 2006 Binafsi nimethibitisha kumbe maandishi ya kweli yanaishi. Na waandishi makini japo watatoweka kimwili, kifikra wataendelea kusihi kupitia maandishi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
MMMMhhhhh jamani kwanza napenda kutoa pole kwa wale wote waliokumbwa na misiba mifululizo kwenye ofisi za tbc...tunaona misiba kila taarifa ya habari imenisibu kuuliza wana jukwaa hivi vifo ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wana jf nimetingwa nauza kiwanja na matofali kama 580, kiwanja kina ukubwa wa 25mx20m na ninauza kwa 2,800,000/=, location: kiwanja kipo kivule kitunda ukifika Banana unashuka then unapanda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ni vyama vyenye wafuasi wengi,viongozi wenye weledi mzuri,ni wakati wa wanachama na viongozi wa vyama hivyo kuachana na kujiundia upinzani vyenyewe bali viunganishe nguvu zao kuiondoa ccm...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ee bana eh! Nilikua nafuatilia mkutano wa mgombea urais wa jamhuri ya Tanzania kwa tiketi ya chadema, na macho yangu yakamwangukia sheikh mwaipopo akiwa amekaa kwenye viti vya wageni waalikwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Johannesburg: Nelson Mandela may have fathered an illegitimate daughter during a brief affair with a woman he met in Cape Town in the 1940s, his foundation has admitted. Mpho Pule spent...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hebu angalia hii:bowl: BIBLIA vs Mapokeo Ukila Tunda Utakufa - Hufi utafanana na Mungu, tena roho italazwa mahari pema peponi Sabato siku ya 7 (Jumamosi) - Dominica siku ya kwanza (Jumapili)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Najua tutaendelea kulia kila siku kwa hii hali, tunaibiwa tunaibiwa lakini kupiga kelele hatuwezi kisa tunaogopa kupoteza nafasi zetu za kazi, au kupoteza vitu vyetu, au kufanyiwa umaafia. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF kuna utapeli ambao kwa sasa umeenea maeneo ya kariakoo, najua wapo matapeli miaka yote ila nimeona niwatahadharishe wale ambao wanadhani hawapo. Juzi nilikuwa mtaa ule ambao vifaa vingi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimisoma ktk Daily News ya leo.. TRA wamewapiga fine na ilipwe ndani ya siku 30, wamiliki wa kila lori la mafuta ambalo lilibeba mafuta yaliyochakachuliwa na kukamtwa Kigali-Rwanda!!! faini ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Msiba mkubwa ziwa Victoria..wanafunzi 18 wafa maji WANAFUNZI 18 wa kijiji cha Lukumbi na nahodha wamekufa maji baada ya mtumbwi wao kuzama katika ziwa Viktoria.Wanafunzi hao ni pamoja na wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau ningependa kuuliza na pia kujua, hivi haya makampuni ya simu hizi promoshen za magari wanazotoa huwa wanazingatia upatikanaji wa spea? sasa hivi vodacom wana hii promosheni ya mikoko aina ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom