Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau, kwa taarifa za TCU viongozi wengi wametunukiwa PhD feki. Je ile aliyotunukiwa rais wetu JK ni miongoni mwa PhD zilizochakachuliwa? Kama ni hivyo je mkulu atanyang'anywa hiyo "hadhi"? Hii si...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani mke wa 12 wa mfalme Mswati ana miaka 22 amekutwa mikononi mwa mwanaume ambaye ni Waziri wa Sheria na rafiki wa mfalme Mswati wakila tunda haramu,habari zinasema mfalme yuko safarini...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Imetokea kwamba jina lako limetokea kushindania Hyundai i10 ya Vodacom leo usiku! Tuma tu jina lako kwenda 15544 kushiriki sasa! Bei Tshs 550/Ujumbe Vodacom: On a very serious note - Hizi SMS...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Bikini Briton arrested in Dubai A British woman has been arrested and charged with indecency after walking through a Dubai shopping mall wearing a bikini...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WanaJF, nimeamua kuanzisha hii thread kwa lengo la kupata takwimu kamili ya idadi ya wapiga kura waliojiandikisha kwa kila mkoa na wilaya zake na kwa kila wilaya na tarafa zake na kwa kila tarafa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa wakati umefika kuishi kama tuko tarime nakumbuka siku moja nikisoma mada moja ya uhuni na wizi wa magari yalioagizwa kutoka dubai na actla kwa bei ya japan kama mapya kumbe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahumu 1:9 Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mlioko Zbar, hasa katika sekta ya Utalii nisaidieni hili. Mabinti wanne wanasoma VETA mkoani. katika kujaribu kuwatoa ktk mazingira magumu; wanatakiwa kulipa 170,000 kwa ajili ya field...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kumbukumbu zangu hazinidanyanyi JK ndo anamaliza miaka yake mitano akiwa ameongea na wanaUDSM mara moja mwaka 2006 pale alipokuja kufungua College of Engenring akazomewa na wanaUDSM tokea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Am not sure how many of you came across this..... But I have recently learned that the true 'long-form' of CCM is..... "Centralized Cash Management" And inazidi kunisikitisha kadri siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Picha 1- Mswahili wa Dubai 2- Mfalme wa Kuwait- Alsabah (mswahili) Wana JF nimepata mfadhili, kwa sasa niko nchi za Kiarabu, Nimeamua kukupeni elimu kidogo kuhusu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wana JF, naombeni mnijuze kama hapa Tanzania kuna ubalozi wa Commoro ninashida mhimu sana na ofisi hizi,
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Naam waungwana. Kabla sijaweka rasmi dhamira yangu ya kuwa mtabiri ningependa kujua ujira walipwao watabiri na magazeti mbalimbali yanayotolewa hapa nchini. Najua ukiongea jambo la watu walio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa jamaa wanataka kutuharibia zaidi shillingi yetu amabyo tayari imeharibika! Hivi Kenya wameiweka category gani? Tanzania snubs ‘unsafe’ alert THE government has trashed claims that...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
to any one who did not make his/her own feelings/ mind as his/her God Let all together be negative against the so call CCM, coz is so dangerous in our Peaceful life in our genaration's future...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama suala hili la kitafiti ambalo linakinzana na dhana ya awali kuwa matajiri kwao ni rahisi kusaidia maskini, na huu utafiti unasema mtu wa kipato cha chini si mbinafsi, yaani usaidia wengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dog Saves Drunk Man's Life By Eating His Toe A dog who chewed off his owner's big toe when he passed out after a day of drinking has been hailed a lifesaver. 'Have-a-toe-hero' Kiko, a Jack...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna hali naiona miaka ya karibu na na siipendi kwakweli. - wengi wa wahitimu wa elimu ya juu hawajui hata kuandika wasifu(CV) wao, achilia mbali kudanganya wasifu wao. - Wakufunzi nao wamegeuka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waungwana, Je itasaidia kuwa na ThinkTanks, angalau moja kwenye kila fani ya maisha yetu hapa nchini? Kuna riporti moja nimeisoma inayosema kwamba kuwepo kwa ThinkTanks kunachangia sana katika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau naomba mwenye habari kamili atupe ukweli juu ya jambo hili. Inasemekana simu za mkononi aina ya blackberry zimepigwa marufuku kutumika nchini mwetu. Sababu: zimetegeshwa mitambo fulani na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom