Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu nimepata habari leo kuna ajali ya basi la Najimunisa limeua lkn sijui ni wangapi na lilikuwa linaenda wa\pi ila barabara ni ya Dar Mza ila yawezakuwa lilikuwa linaenda Bukoba au...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Yawezekana mdomo wako una matusi kuanzia jumatatu mpaka jumamosi yawezekana unatoa lugha chafu ama mbofu mbofu jumatatu mpaka jumamosi na jumapili kutegemea kumsifu mungu kwa shangwe pole sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kawaida kuona taarifa ya habari wana ccm wakikamatwa bila kuangalia vyeo vyao leo hii tabiri nani atakamatwa na rushwa wakijiandaa kwenye mchakato halisi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wa JF, nimepokea taarifa za kifo cha askari huyu "aliyejiua" baada ya kukosea kuelekeza msafara wa "RAHISI" wetu kule kwa ndugu zetu tarime. Uchungu nilionano ni mazingira ya utokeaji wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
TANZANIA imetajwa katika ripoti ya Kipimo cha Hali ya Rushwa Afrika Mashariki (EABI), kuwa na taasisi zinazoongoza kwa rushwa kwa nchi za Afrika Mashariki. Akizungumza na waandishi wa habari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, Tangu jana simu za line mbili zimekuwa zikigoma kufanya kazi.... Utakuta line moja inakubali lakini ile ya pili inasema EMERGENCY... Jeh! Kuna mtu anaweza kujua source ya tatizo hili??? kwa...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Nimetaarifiwa kuwa kuna ajali imetokea hivi punde mjini kahama.Maiti 18 mpaka sasa zimefikishwa hospitali ya wilaya. Mwenye habari zaidi atujuze tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo. Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Siku zote magazeti yanayochapishwa na kampuni ya Habari Corporation chini ya mhariri mtendaji muhingo rweyemamu yamekuwa yakiandika habari zenye kutia shaka ile dhana ya weledi katika taaluma ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inawezekana umasikini watanzania wengi walio nao ni mpango mahsusi wa watawala. Ndio nasema watawala na sii viongozi. Fikiria kwa mfano watanzania wangejengewa mazingira bora ya ya kuwezesha kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Sio lengo langu kuvurga biashara ya upigaji na usafishaji picha wa hawa ndugu wa Photo Point ya pale Mlimani City. Lengo tu ni kuwatahadharisha ndugu mnaoenda kupiga picha za...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wamasai watano wakazi wa arusha, jana waliuziwa viwanja baharini baada ya maji kupwa. Wauzaji wa viwanja hivyo wanashikiliwa sentro, niko hapa nikiwa nipigwa na bumbuwazi maana nikiwa mdogo nlisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zilizo nifikia sasa hivi ni kwamba Basi lilokuwa likisafiri kutoka Bukoba kuelekea Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Kahama, ambapo inasemekana watu 29 wamefariki pale pale. Tafadhari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuwa mwangalifu yasikukute haya.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Atakiwa kumhudumia Mtikila kifungoni MLALAMIKAJI katika kesi ya madai dhidi ya Mchungaji Christopher Mtikila, ametakiwa kumhudumia Mwenyekiti huyo wa DP wakati akitumikia kifungo chake cha miezi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
This is quite the most amazing sentence I have come across in the English language. The person who made this sentence must be a vocabulary GENIUS. Read the following sentence carefully ...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Austria: Brewers have invented a beer laced with cheese to help amorous boozers perform after a night on the tiles. Beer laced with cheese helps sexual performance. The brew promises a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari la Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nimrod Mkono, limeteketezwa kwa kuchomwa moto baada ya kudaiwa kuwagonga watu wawili na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nafurahi kujiunga nanyi tena.lav u all.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Backs dominate almost all 'proper' sports Bingwa wa ulaya wa riadha, hivi majuzi- msomali mwingereza World fastest man-Bolt- jamaica Best footballer ever - Pele -Black Best boxer- Muhammed Ali-...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom