Jamani nina tatizo kubwa kweli naombeni msaada kama kuna anayejua namna ya kutatua;
Ni hivi, mwezi wa tatu mwaka huu 2010 jumamosi moja niliamka asubuhi na kukuta sehemu ya ndevu zangu...
Huyu bwana alipata kuwa Mbunge wa Monduli wakati fulani. Lakini pia miaka yangu ya mwisho mwisho kumsikia ni pale alipokuwa DC... nadhani huko Kongwa-Dodoma.
Enzi zake za Ubunge alikuwa mjenga...
Yes?
natumaini mumejibu 'YEAA'..hifyo ndifyo tunatharimianaga huko kwetu gisagi General saina.
Sijui kwanini mama yangu arikuwaga anajua saa zote nikiwa karibu gusuria (kushuta). kira wakati...
Wadau naombeni kufahamu ukweli maana sasa huu ni upuuzi a.k.a wa hovyohovyo, wiki sasa napigwa danadana ktk kituo cha pale msimbazi na hawa wachina walioingia ubia na TBCI kusambaza hivi...
Kwa wale waliowahi kutazama hiki kipindi
nimekuwa najiuliza maswali mengi
1.hiki kipindi kinaandaliwa nchi gani?
2.kwenye television ipi??
3.mbona quality ni mbovu?
4.huyu sporah ni jina lake...
Jamani wana JF, naomba kama kuna mtu anayezifahamu sababu za msingi ambazo zinapelekea kampuni za simu nchini kutouza hisa zake ktk soko la hisa '' DSE'' kama kampuni nyingine zinazouza hisa zake
Katika jumla ya daladala 120 za jiji la Dar-es-salaam nilizopanda kuelekea maeneo mbalimbali ndani ya kipindi cha miezi 2, nimeweza kushuhudia ni daladala 15 tu zilizokuwa zikifuatilia mambo...
Jamani wana Jamii hivi ni nani anayefanya AUDITING pale Medical Stores Department ''MSD'' nilishuhudia gari aina ya canter tani 4 ikiwa imesheheni DAWA MSETO, Ikishusha ktk nyumba ya mtu binafsi...
Madada wawili majuzi wakiwa muhimbili walipoteza watoto wao samahani sijui niseme kwa uzembe ama lah..mmoja wa madada aliekuwa akilia kama amemwamgiwa maji alipoulizwa imekuwaje alisema alifika...
Kuna mtapanyiko wa mafuta (diesel/ petrol) pwani yote eneo la pwani ya bandarini. Kuna speculations kwamba kuna meli imevujisha hayo mafuta ama bomba la tipper limepasuka....
Nimepiga picha kwa...
Kuna tetesi juu ya ujenzi wa hii barabara kwamba hautaanzia Morocco kama ilivyoelezwa hapo awali badala yake utaanzia Mwenge hadi Tegeta Wazo kwa kiwango cha njia mbili.
Sababu eti kutoka Morocco...
Hapa ofisini kwetu kuna kaka mmoja mwanasheria. Anaheshimika na watu wote kutokana na tabia yake ya kuwahi sana ofisini, unadhafu na ukimya wake.
Leo nimewahi sana kufika ofisini kwa kuwa nilikuwa...
Nimeulizwa swali ambalo nimeshindwa kulitolea majibu. Hivyo nikaonelea nililete hapa JF, na kwa kua naamini hapa jamvini pana vichwa vilivyojaa hekima kwa kila nyanja jibu litapatikana. Swali...
Kuna jambo moja linanishangaza na kuudhi. katika barabara nyingi ziendazo mikoani- up country- kuna vituo vya mizani kupima uzito wa magari -mabasi ya abiria na magari ya mizigo. sasa utakuwa...
Forum:
Uchaguzi Tanzania 2010
<LI id=thread_67661 class="imodselector threadbit new" title="nimewahi sikia na kusoma through internet kuhusu haya magonjwa yanaitwa sexual disoder but...
Hivi hawa dawaco tegetammelogwa??au nyie kazi zenu nikukimbizana na wenye mahotel mkubwamakubwa??
Aingi akilini shirika linatumia pesa nyingu kununua mitamb yakuzalisha maji halafu maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.