Ndugu zanguni wa JF leo nimeona nilitoe hili bomu, kwani kuna mambo ambayo baadhi ya wadau kwenye hizi taasisi wamekuwa wakifanya au kufanyiwa na wao kuona ni kawaida kabisa. Angalia mambo...
Je kwa uzoefu wako ni huduma gani unaiona inatolewa kwa ubora/kiwango cha hali ya juu in DAR?kwa mfano
1.benki
2.hospitali
3.shule
4.mtandao wa simu/internet
5.hoteli/mgahawa
6.club/pub...
This week Facebook will register its 500 millionth member. It's a milestone both significant and meaningless: yes, it's a reminder of just how big the social-media giant has become, but reallydid...
Hivi hawa watangazaji wa TBC hasa wale wa kipindi cha Jambo cha asubuhi ambao wanalipwa na kodi zetu wadanganyika wamesomea kweli kazi yao vizuri?
Kwao suala la time management naona ni SIFURI...
Watanzania tuna ugonjwa mbaya wa kutokufuatilia mambo mpaka yafikie hatima yake. Nadhani vyombo vyetu vya habari ni muhimu visaidie katika hili. Sijui wadau wengine mnasemaje. Kwa mfano sijui...
Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watanzania wanaoshiriki michezo mbalimbali ya bahati nasibu inayochezeshwa na hizi kampuni za simu ( Tigo , Vodacom, Zain na Zantel). Ni vigumu Kumbadili...
Kwa wale watumiaji wa barabara ya old bagamoyo (ile njia ya kuja mjini kupitia kawe, mikocheni, msasani nk) mnaweza kuwa mmemwona yule jamaa aliyeamua kuishi kando ya barabara mbele kidogo ya lile...
Mwanaume mmoja wa nchini India ambaye alitaka kuvunja uhusiano na bi harusi kwenye dakika za mwisho kabla ya harusi, alipewa mkong'oto na kulazimishwa kumuoa bi harusi wake.Video iliyoonyeshwa na...
SALAAM ALEYKUM NYOTE,
Pamoja na ugeni wangu, naomba kufungua mada ifuatayo nikitaraji michango yenu itanifungua macho zaidi kuhusu nchi yetu tunayoipenda na kuiozesha kwa makusudi katika kila...
1. The garden of Eden was in Iraq.
2. Mesopotamia, which is now Iraq, was the cradle of civilization!
3. Noah built the ark in Iraq.
4. The Tower of Babel was in Iraq.
5. Abraham was from...
As you requested, this is the short version:
I would like to draw your attention on Oil Link Filling Station, at the adjacent of Mwenge Road and Shekilango around Africa Sana opposite the...
Institute of Management and Entrepreneurship Development
Tel: 0718 400884 0765 111100 0713-775299
Ref. No.:
21 July, 2010
RE: INVITATION TO A RETIREMENT PLANNING COURSE
The Institute of...
Dear Son, I am writing slow because I know you can t read fast. We don t live where we did when you left. Your dad read in the paper that most accidents happen within 20 miles of home, so we...
My mom only had one eye. I hated her..... She was such an embarrassment. .
She cooked for students & teachers to support the family.
There was this one day during elementary school where my...
UMASIKINI na kukata tamaa kwa baadhi ya wasichana wenye umri mdogo, vinachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la kasi la wasichana hao kujiingiza katika biashara ya ngono mkoani Dar es Salaam...
Naibu Waziri Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Makongoro Mahanga (Kulia) akielezea mafanikio ya Wizara hiyo kwa waandishi wa habari Dar es Salaam jana, na jinsi walivyoweza kutenenza...
Katika mkutano wa dunia kuhusu maendeleo na mafanikio dhiidi ya UKIMWI inaoendelea Viena Austria, kumekuwa na habarinjema katika research inayoendelea kuhusu matumizi ya gel au cream inayosaidia...
Tutarajie nini baada ya dawa ya ukimwi kugundulika?
Miongoni mwa vichache ni:-
kuongezeka kwa ngono zembe
kuongezeka kwa watoto wasiotarajiwa.
kuongezeka kwa magonjwa ambukizi yatokanayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.