Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Teenage girls undergo breast ironing in Cameroon Affecting one out of every four girls, the brutal practice of "breast ironing" is on the rise in the African country of Cameroon. The...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nilikuwa safarini toka Dar kuelekea Mbeya kwa kutumia usafiri wa mojawapo ya basi la kampuni kubwa hapa nchini. Safari yetu ilikuwa nzuri toka Dar asubuhi hadi mida ya mchana saa saba...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Juzi nimesikia habari ambayo inasikitisha na ni aibu kwa taifa letu, Yaani hospitali kubwa ya taifa ambayo inaonekana ndo mkombozi wa afya zetu endapo hizi hospitali ndogo ndogo zitashindwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wakaazi wa Mbeya, nimepata taarifa kuwa mmoja wa wakazi maarufu wa mji wa Mbeya mzee Sombrero amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Alikuwa mfanyabiashara maarufu katika sekta ya Hotel, ndiye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mama mjamzito ajifungua mayai mawili badala ya mtoto katika hospitali ya misheni ya Ndala- Nzega, Tabora. Habari zinasema ya kuwa mama huyo alikuwa anahudhuria kriniki kama kawaida na siku...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Nadhani bongo wapo hawa.. Who am I? Man with no memory, found injured in city centre, makes desperate appeal to public to identify him Last updated at 2:57 PM on 23rd July 2010 Police in...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Nahisi wanapoelekea ni karibu na air time change\hawa waungwana watu walijua ndio wamekamata maslahi ya national carrier lakini hivi karibuni wamenisikitisha sana likiwemo tatizo la leo asbhHivi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuwekeni visingizio pembeni. Maisha yetu ya baadae hayana budi kujengwa sasa hivi. Nina uhakika vijana wengi hamtaisoma hii makala kwasababu tu ni “ndefu”...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jimbo la Urambo leo lilizima kwa maandamano makubwa ya kumpokea kamanda mteule Bwana Ally Maswanya ambaye ni kurugenzi wa kampuni ya Zain kanda ya Ziwa, maandamano hayo yalikuwa na lengo la...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani naombeni Msaada kwa mtu yeyote anayefahamu, ni nani hasa anayejua Shareholders wa Mirambo Company ambaye ina shares kwenye kampuni ya Vodacom Tanzania? Kuna tetesi ya kwamba Prof. Beno...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
5 Things to Do When the Boss is Wrong By Suzanne Lucas July 21st, 2010 @ 3:15 am So, it turns out that Apple knew about the antenna problems with the new Iphone, but CEO Steve Jobs liked...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi inayozingatia sheria na uhuru wa mtu binafsi bila kutizama jinsia,rangi na utaifa au ukabila na kuzingatia hayo ni vema kwa Tanzania kujari na kutoa fulsa ya wananchi wake kutoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba niilite hili jambo mbele yenu.! Leo hii nimepotelewa na simu yangu mtandao wa TIGO na nimesajili namba yangu, nikaomba simu ya mtu ili nipige CUstomer Service wa block line yangu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
The former Minister who have committed suicide.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[FONT="Lucida Console"]One of the most common sights we see these days, is that of people with their mobile phones next to their ears. A boon for better communication, cell phone usage nonetheless...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Hivi hawa Wadada asilimia kubwa wanapenda sana kula chips mayai, kwa mfano mavyuoni huko, ukiona foleni ya kwenda kuchukua chips mayai utakuta asilimia kubwa waliojipanga kwenye foleni ni wa-dada...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Hii imekaaje wadau?nna mskaji wangu kaoa mzungu,eti wanaratiba ya kufanya tendo la ndoa yaani ni mara mbili kwa wiki ijumaa na jumatano,hivi kwa sie waafrika inawezekana kweli au ndo mambo ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
What's the real official capital of South Africa? Pretoria (aka Thswane) is the administrative or real capital of South Africa. Capetown is the legislative capital while Bloemfontein is...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja ambaye alipata Mimba kabla ya kuolewa, na baada ya kujifungua akaamua kuchimba shimo na kumfukia mwanae hadi shingoni, lakini Mungu si juma wala george, wapita njia wakakikuta...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom