Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
1) Alice the Alcoholic. Most of her facebook statuses are about how she is going to get wasted, got wasted, or missed work coz she slept till midday on a Tuesday. Proudly says how she has a...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Ni jumapili nimetoka ibadani, nipo hapa nyumbani, limenijia wazo hili ambalo linanisumbua kichwa changu, Hivi kweli Mpendazoe sio Mrithi wa Mrema? Urithi ninaozungumzia hapa ni ule wa kazim...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
mama aliyepotea ghafla pale palmbeach surrender bridge amepatikana,mama huyo jina halijafahamika alikuwa akiendesha gari alipofika kwenye mataa alisimama aliamua kumsaidia mlemavu ombaomba kwa...
0 Reactions
66 Replies
10K Views
Are leadership styles of women and men really different? Why?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Catholics angry as church puts female ordination on par with sex abuse Women's groups describe Vatican's decision on female ordination as 'appalling' John Hooper in Rome and Haroon Siddique...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Awali iliripotiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete alitarajiwa kushiriki kwenye mazishi ya Mwaikusa, ambaye amefanya kazi ya uhadhiri mwandamizi wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
The Modern Slave’s Guide to Modern Slavery RULE NUMBER ONE about modern...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imekuwa ni tabia ya Kawaida sana kwa magazeti ya Tanzania, hasa yale ya global Publishers kuonyesha waziwazi picha za watu waliokufa ama kwa ajali au kwa kupigwa risasi. Hiyo ni tabia ambayo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mheshimiwa J.P.Magufuli, akisoma bajeti ya wizara ya Mifugo na Uvuvi 2010/2011, alitoa hoja ya kuundwa chombo kitakacho dhibiti idadi cha mifugo ambayo mfugaji anaweza kumiliki. Waheshimiwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Najaribu kuwaza; Hivi hii dawa ya ukimwi ikija kuwa confirmed kwamba iko effective kwa asilimia 100%, tutakuja kuwabana namna gani watoto wetu kuhusu kujiepusha na ngono?! Wote tunajua maadili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa huyo aliona vipi kama ngeruhusu gari liende hata kullala nje ya kituo cha police kama alikuwa anataka kulikamata gari.waliopata mateso si kampuni ya zuberi ila wa watanzania hasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Maggid Mjengwa, WAHENGA walinena; ” Unayemnyima kisu, mpe banzi!”. Hizi ni kauli zinazotutaka tufikiri kwa bidii. Kisu kilichotengenezwa kwa banzi ni mfano wa kisu, si kisu. Wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yawezekana ni mmoja wa waathirika wa fani hii, napenda leo kukwambia ndugu kama una cpa yako na bado unaendekeza wizi kwenye kazi zako utaendelea kutokua na maana milele. Nasema hili nikiimanisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je ni faida gani umepata tangu ulipoanza kutumia facebook?
0 Reactions
36 Replies
4K Views
yale yaleeee! ----- VijanaFM Blog I’m always excited to come back home, Tanzania. And this time around, I was especially excited because I was moving back home. After eight years of living...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
2005---------------2010 1.Prof. chachage 2.Prof. Othuman 3.Chacha wangwe 4.Sofia Mbatia 5. Prof. Juan 6. 7. 8.Prof.Mwanza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepigiwa simu muda huu kuwa mwanasiasa mkongwe wa zamani Mzee Kasela Bantu amefariki Dunia, naomba mwenye taarifa kamili hatujulishe
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Tukio lilitokea siku ya Jumapili tarehe 11 mwezi Julai, 2010 katika kituo cha mafuta cha Oil link Afrika Sana Mwenge, bado linaniachia maswali mengi. Swali kubwa ni kuwa: EWURA inamlinda vema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ilikuwa jana usiku katika taarifa ya habari nilipo shuhudia watu wakishangilia kukubaliwa na kupitishwa kwa sheria ya kuruhusu ndoa ya jinsia moja huko Argentina.Nilishangaa nilipo sikia kuwa si...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Lula wa Ndali Mwananzela - Raia Mwema (Jumatano Julai 14, 2010) KUNA wakati mwingine ni lazima tuuite ukweli kwa jina lake. Kama mtu hataki kuamka wakati unamwambia nyumba inawaka moto utafanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom