MWENYEKITI wa Kijiji cha Kemakorere, Zephania Chacha anadaiwa kumshambulia kwa viboko mkuu msaidizi wa Shule ya Sekondari Kemakorere, Juma Selemani Hango akimtuhumu kukata miti miwili ya shule...
Kwa kitendo kinachofanywa na tigo siku hii ya leo mi naona ni kubakwa hadharani,najua kuwa tigo ni kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi inayotumiwa na watanzania wengi mno,sasa mchana huu...
Jamani wote tulishuhudia shindano la Serebuka katika TBC1. Watanzania tulipiga kura zetu lakini mpaka leo haijajulikana ni nani aliibuka mshindi wa mashindano yale. Siku ya mwisho walimaliza...
Nimekuwa nikipigwa butwaa kuona nyaraka zenye mambo binafsi ya waajiriwa katika maofisi mbalimbali zikitumika kufungia maandazi au kutengenezea bahasha za kubebea bidhaa mbalimbali. Katika tukio...
Nipo natazama kipindi cha Zamadamu, kinachorushwa na TBC1 wametembelea makumbusho mjini Arusha, kilichonishangaza ni huyu muhusika wa makumbusho anavyotoa maelezo ya uongo, kuna huyu mnyama...
WADAU niko katikati ya nchi najaribu kufuatilia mjadala wa watunga sheria katika mjengo wao.
Wote mashuhuda namna juzi walivyomshikisha adabu Dk. Magufuli ambaye anatamba kuwa ni mtoto wa...
Mwili wa Mtanzania Caroline Tom Mmari ambaye aliripotiwa kupotea May 20.2010,na kupatikana akiwa amekufa huku mwili wake ukiwa umefichwa/zikwa nyuma ya nyumba aliyokuwa akiishi Jijini Los...
Kwa mara nyingine tena, kile kinachoelezwa kama 'wananchi wenye hasira, kimefanya kazi yake tena baada ya kumchoma moto wa tairi kijana aliyedhaniwa kuwa kibaka. Jamaa anaonekana kijana mmoja...
Jana nimesoma makala ya Lula wa Ndali-Mwananzela kwenye gazeti la Rai Mwema kwa masikitiko makubwa. Fedha zinazotajwa kuwa zimetumika kulipa faini kwa uvunjifu wa mikataba usiokuwa makini ni...
WATU wawili, akiwemo na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, wakazi wa vijiji vya Nakiu na Njenga Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, wamefariki dunia baada ya kushambuliwa na nyani pamoja na...
Maeneo ya Upanga, Sea View, Karibu na BP filling station kulikuwa na hoteli moja mashuhuri sana ikiitwa Ettiennes Hotel, ilivuma sana miaka ya 1970 na 1980.
Moja ya sifa zake ni historia nzuri...
Yai na kuku kipi kilianza?
Mjadala wa miaka mingi kuhusiana na kipi kilitokea mwanzo kuku au yai? umepata jibu baada ya wanasayansi kuthibitisha kuwa kuku ndiye aliyekuwepo awali kabla ya...
Nyumbani kwa Waziri Celina kombani yalitokea mauaji ya kutatanisha mwaka huu.
Polisi waliunda tume ya kuchunguza mauaji hayo.
Hadi leo kimya kikuu kimetawala.
Je ni kwamba kombe limefunikwa ili...
By BILHAM KIMATI, 13th July 2010 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 5
A PROBE team formed last month by the Dar es Salaam Regional Commissioner, Mr William Lukuvi, has discovered that 104 open...
Theres a new scam on Facebook promising to show you a video revealing the truth about Coca-Cola, but all its really after is your personal info.
The message reads: I am part of the 98.0%...
Je ni kweli kuwa mkurugenzi wa lpp media ameshindwa kuliendesha gazeti lake la kila siku jioni ambalo lilikuwa likipendwa sana na wasafiri wa daladala ambao walikuwa wakilitumia gazeti hilo kama...
Nduku sanguni lidhe jambasi bado linatesa!!! Hii habari ni ya gaseti la mwananji
JESHI la PoIisi mkoani Arusha linamshikilia mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani hapa, Justin Nyari kwa...
Mitambo yangu inaniambia kuwa hapa JF kuna vidudu vya upelelezi na ukitumia spyterminator utaona ,mambo mambo na harakati ,sasa sijui kama imeshanunuliwa na usalama wa Taifa na kuanza kutumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.