Sio kama nasifia.. ila nimefurahishwa na ziara yake ya kimyakimya bongo. Baada ya show kali na kucheki vuvuzelaz South Africa, akenda kuona maendeleo ya kampeni zake huko kwetu Uyui-Mbola...
Kwa wale ambao wangetaka kufuata nyayo za China (bila uelewa wa Mao wala wa Deng Tsiao Ping) huku wakiogopa migomo ya Wafanyakazi kuliko wanavyoogopa ukimwi...
By Don Durfee 15 July 2010...
Jamani naomba kuwasalimie wote kwenye jukwaa hili la siasa. Kwa vile bado nipo porini, nitawasiliana nanyi baadaye ili niwape vizuri habari za huku porini
Mzeewapori
hawa jamaa waliwahi kunikamata mara kadhaa kwa kosa la kumbeba abiria ambaye hajavaa kofia (helment) ya pikipiki kwa ajili ya usalama. wakalamba buku tano yangu.
But huwa najiuliza sana je wao...
WATU saba wamekufa papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa katika ajali ya lori iliyotokea usiku wa kuamkia jana wilayani Handeni, Tanga.
Habari zilizolifikia gazeti hili jana zimeeleza kuwa lori...
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Sadam ameauwa kwa kupigwa risasi mchana wa leo katika baa maarufu ya Angels' Park iliyoko Ilala Sharief Shamba jijini Dar es salaam!! Kijana huyo...
Ukifuatilia taarifa ya habari ya saa mbili usiku TBC1, utakutana na tangazo "mpenzi mtizamaji yuma maoni yako kwenda namba fulani hivi, na maoni yako yatarushwa katika live kwenye taarifa hii ya...
This is a recent statement by Michael *****:
***** wrote in a June 3 e-mail that "east Asians and their descendants averaged larger brain size, higher intelligence and social organization than...
Salam zenu wana JF. Kuna taarifa za uhakika kwamba wizi wa vitu kama laptop na "pawa windo" kwenye magari yaliyoegeshwa haufanyiki Mlimani City pekee, bali ni mji mzima wa Dar es Salaam kwa sasa...
Picha ya kuchora ya Mzee Mandela yaleta utata, sawa na ule wa mtu kujaribu tu kutaja kifo cha Mzee Jomo Kenyatta nchini Kenya!
Nelson Mandela autopsy painting sparks South Africa row
A...
Kwa mara ya kwanza tokea nimezaliwa ndio nimesikia leo kuwa mfanya biashara mkubwa na ni mwanachama wa CCM tokea enzi za TANU na alikuwa rafiki wa Baba wa Taifa hayeti Julius Nyerere amechangia...
Kuna uwezekano mkubwa sana Balaza la sanaa Tanzania kuingia katika Mgogoro mkubwa na kuliingiza Taifa katika hasara Kubwa.
Si hivyo tu, pia Image ya Tanzania inaweza kuingia doa kwa Uzembe ama...
Kwa siku za karibuni, imekuwa ni kitu cha kawaida baadhi ya watu kupokea ujumbe wa simu ukiwaomba na kuwahamasisha kuchangia CCM. Na hivi karibu kuna washikaji zangu wamepokea ujumbe ukiwataarifu...
HABARI
Naomba isaidiwe familia hii njia nyepesi ya kufanya DNA TEST maana walipokwenda kwa mkemia mkuu wakaambiwa wapeleke barua toka mahakamani au ustawi wa jamii na walipoenda huko wakasema...
Wakuu!
Nawasabahi! ndio kwanza nimeingia ofisini asubuhi hii nimepatwa na masahibu wakati niko kwenye folen kuja ofisini maeneo ya Millenium Tower transforma imelipuka nilikuwa nimeacha kioo cha...
Hii bongo inavutuko sana kwa kweli. Yaani hawa watu wameacha bidhaa zimepita bandarini, ati waje kwangu kukagua!? Nahisi ni hadithi tu. Wameacha kukagua dawa fake kwenye pharmacies; watu wanakufa...
Never believe all you hear, there is a big difference between what people say and what they do. Many people are sweat talkers promising heaven, mars, the moon, stars and the whole universe. In my...
Kuna kitu kilikuwa kinanisumbua kwa muda mrefu tokea wakati wa utawala was Rais Mkapa.
baada yakuumia mguu baadae wasaidizi wake walikuwa wanazunguka na moja ya viti vilivyopo Ikulu ili aweze...
Barrick`s billion dollar deal a dream to locals
By Staff writer
28th February 2010
Tanzanian investors may miss the golden opportunity to own one of Africa's biggest gold mines, Africa...
aliyekuwa mhadhiri wa muda mrefu katika kitivo cha utawala na uongozi cha chuo kikuuu Mzumbe Morogoro, Dr. Katalyeba alizikwa jana. naamini wengi mliowahi kusoma pale mtamkumbuka mzee huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.