Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
A problem with the undersea cable that brought high-speed net access to East Africa has been identified. The cable owners, Seacom, said the faulty section is "at one of the deepest...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, naomba kama kunamtu yoyote mwenye updates za mchakato wa nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi wa taasisi za umma anipatie!!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Uhalifu, mauaji nje nje! Eneo la Mbezi wilayani Kinondoni hivi sasa ndilo linaloongoza kwa matukio ya uhalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kuna mlolongo wa matukio ya...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
Nilikuwa nasoma gazeti la habari leo, kuhusu awamu ya nne kutoa ajira zaidi ya milioni moja. Nilipofika kwenye maoni ya wasomaji nikakutana na maoni haya. Its funny!! Hii inaweza kuwa kweli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna asilimia kubwa ya watanzania wenye kuandika maneno haya wakimaanisha yafuatayo aendi-haendi ana-hana una-huna uduma-huduma aina-haina raisi-rahisi ukumu-hukumu mana-maana Je, hii ni "slang"...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna habari kwenye gazeti la mtanzania ukurasa wa tatu kuhusu kufungiwa kwa vituo vya mafuta vinavyo milikiwa na mbunge wetu wa Musoma mjini, kwa sababu ya uchakachuaji! Hii inamaanisha nini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Imeandikwa na Na Maulid Ahmed; Tarehe: 8th July 2010 Habari Leo MBOGA za majani, ukiwemo mchicha, zinazolimwa kwa kumwagiliwa maji ya Mto Msimbazi jijini Dar es Salaam,si salama kwa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu heshima mbele kama kichwa cha habari kinavyojieleza,bila shaka kuna wadau wanaotumia mtandao majumbani humu jamvini. Ningependa kufaham ni shirika gani ama huduma gani ni angalau ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yaelezwa muuaji alikunywa damu Shahidi wa pili katika kesi mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), ameieleza Makahama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza kuwa alimuona...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
ASKARI wa kikosi cha reli cha Jeshi la Polisi wamebuni njia mpya ya kujipatia kipato kwa kuwatoza abiria fedha za nauli na faini ndani ya treni huku wale wanaokosa wakipigwa na kufungwa pingu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani sina uhakika na hawa tbc one na jinsi wanavyoaandaa vipindi vyao vya tv lakini kilasiku kuna makosa ya kipuuzi hadi unajiuliza kama kuna watu serious pale.... Waliotazama taarifa ya...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Open Letter To President Kikwete Mr. President, I will not pretend to lecture you on the daunting tasks ahead of you since you see the data and the intelligence; rather, I will simply remind you...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimepokea kwa masikitiko sana habari za kujiua kwa askari watatu katika kipindi kisichozidi mwezi mmoja, wa mwisho kajiua jana huko iringa. Ukiangalia kwa undani sababu za vifo vyao vina kila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia jana(yaani juzi) ofisi za Global Publishers zilivamiwa! Mara baada ya uvamizi huo walimteka mlinzi na kumfunga kamba kisha kuondoka naye na kwenda kumtupa maeneo ya kurasini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kile kijiwe cha mabishoo na watoto wa vigogo kimefia wapi? Naona wanachama wengi wa kile kijiwe wamehamia hapa. Pumba za walizokuwa wanaandika kule wameziacha siku hizi. Labda wengi wameshakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwezi uliopita tuliambiwa vyandarua vitagawiwa bure kwa watoto wote wenye umri wa mpaka miaka mitano na zoezi hili lingeanzia mkoani Dar.Kumekuwa na malalamiko mengi magazetini na kwenye TV maeneo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
From MARTHA MTANGOO in Dodoma, 9th July 2010 @ 12:00, Daily News FIFTEEN people died on the spot and 48 were severely injured when a lorry heading to the auction market overturned at Mnenia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaCCM na Wapenzi wa CCM nchini Finland wanatarajia kufungua tawi la kwanza nchini Finland katika mji mkuu wa nchi hiyo Helsinki. Wananchama, Wapenzi na Washabiki wa CCM wote katika Finland na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
khaa umependedhaaaaaaaa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom