Jamani naomba kuuliza ukweli ni upi???
juzi kati nilikamatwa na trafiki nilipita njia ni no entry pale ukitaka kuingia subway ya peuget house badala ya kuzunguka mpk holidayinn kupitia...
Tumeona namna JF ilivyoboreshwa na kuwa na mambo mengi zaidi. Lakini mimi kuna kitu huwa bado naona kama kinapunguza sana ladha ya JF
Mosi: Mtu anaruhusiwa kupost thread nyingi atakavyo na...
jana tarehe 15/06/2010, sanamu la Yesu huko Ohio, Marekani lalipuliwa na radi! This time god takes his/her own symbol [the son] in a spectacular way, and in front of several onlookers (and...
Imethibitika pasipo shaka kuwa timu za Africa katika mashindano ya kombe la dunia 2010 ni kundi la timu dhaifu. Ukiachilia mbali Ghana iliyoshinda mechi moja kwa 'bahati' kwa njia ya penati hakuna...
Mwanamziki mkongwe wa mziki wa dansi nchini toka nchini Kongo Kinshasa, Fredy Mayaula Mayoni (RIP) amefariki dunia siku ya 27-05-2010 huko jijini Brussels, Ubeligiji, kwa ugonjwa kansa ya ubongo...
Raia yeyote anaposhindwa kutimiza wajibu wake kwa Serikali mfano kulipa kodi n.k. Serikali hutumia vyombo vyake vya dola kupata haki yake. :crazy:Nimekuwa nikijiuliza hivi raia wa kawaida...
Mtu kuangamiza familia yako sababu ya mapito ya dunia?
Nazungumzia suala la mtu mmoja kuchoma nyumba makusudi kwa nia ya kumwangamiza baba yake na mama yake wa kambo, Hii ishu ilitokea siku...
Juzi nilipita mtaa mmoja pale Sinza karibu na kituo cha daladala cha Mugabe, na kuona geti jeusi la nyumba moja lenye tangazo: "Private House, Nyumba Binafsi". Haraka nilipelekea kuwa wakazi wa...
Nimetembelea blogu nyingi kuona ipi ni bora na iliyotengenezwa kitaalamu kutoa fursa bora kwa watumiaji wake.Jamii forums nimegundua ndipo penyewe.
Jf ina uvumilivu wa mambo mengi lakini inaogopa...
Kumbe ile Ripoti Maarufu ya GAG, ya ukaguzi wa hesabu za serikali, ni barking dog only, seldom bite! baada ya kubainika kuwa baadhi ya Wizara, Mashirika, Halmashauri na Idara zinazojitegemea...
The sight of a baby girl suckling on the breast of her dead mother changed Abebech Gobena's life forever. The year was 1980 and Ethiopia lay in the grip of one of the most devastating famines in...
Nimeona sasa hivi katika Mlimani TV Mh. A.K. Malecela anasema kwamba anahujumiwa na magazeti,kwamba haya mambo amesema toka zamani lakini Speaker hakumsikiliza ''lakini leo wote mmeshuhudia, watu...
Jeshi la Polisi limethibitisha kumhoji Meya wa Manispaa ya Kinodoni Bw. Salum Londa kwa tuhuma za kuhusika kwake na uuzwaji wa maeneo ya wazi pasipo utaratibu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya...
leo nafikisha miaka 33,SIAMINI KAMA NI MIMI
@nikikumbuka enzi ya kupika mchanga kwenye kikopo cha blue-band huku mkicheza mchezo wa baba na mama
@nikikumbuka enzi za kucheza kombolela
@nikikumbuka...
Iran providing humanitarian aid to Gaza is a provocation, believes former Israeli prime ministerial advisor and diplomat Yehuda Avner
The purpose is not to vendor humanitarian aid, but to put...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.