Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Please share the names of interesting blogs and or sites that you have come across, preferably with its theme in brackets
0 Reactions
5 Replies
1K Views
80bn/- contract hangs in balance By ThisDay Reporter 22nd June 2010 GOVERNMENT OFFICIALS ACCUSED OF DELIBERATELY STALLING MAJOR ROAD CONSTRUCTION PROJECT IN FAVOUR OF KICKBACKS...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
An article in a magazine for new mothers that described breastfeeding as "creepy" has drawn widespread criticism. Mother & Baby Magazine's deputy editor Kathryn Blundell said she bottle fed...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maonesho ya kimataifa ya Dar, sabasaba 2010 yanategemewa kufunguliwa tarehe 28 Juni 2010. Nimekuwa na kawaida ya kutembelea maonesho hayo huko nyuma lakini nakatishwa tamaa na baadhi ya bidhaa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbona halina mvuto wa kuliangalia ...?? Hivi Hawa wabunge huwa wanaangalia mabunge ya wenzao nianze karibu hapo Kenya Kenya unaangalia Bunge lina changamoto ..linaleta hisia ya kuangalia muswada...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wana JF! Jamani wananikera wale watu ambao wakiona ndugu yao amefariki ndio wanajitia kiherehere cha haraka kuanza kuanza kufuatilia mali za ndugu yao huku wakijua ameacha familia yaani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nchi ya Zanzibar huenda ikafutika kwenye uso wa Dunia kama nchi iliyoungana na Tanganyika na kubaki kama mikoa ya Tanzania. Hii ni kwa sababu jina linalotakiwa kuzitambulisha nchi mbili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kijana mmoja wa miaka 17 alichukua uamuzi wa kujiua kwa vile mafisadi wamezidi na hawachukuliwi hatua. Tumefikia kiwango hiki sasa. Sijui hatua nyingine itakuwaje. ATISHIA KUJIRUSHA KUTOKA KWENYE...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, msaada kwenye tuta!!! Ningependa kufahamu kuhusu shahada za pili zinazotolewa na Open University of Tanzania, especially MBA. Awali ya yote ningependa kufahamu Content ya shule itolewayo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau wa JF, yapata siku kama ya 3 au ya 4 leo, nikipita pale Fire, ukitokea magomeni, mkono wa kushoto kwenye ukuta wa shule ya jangwani kuna maandishi yanayosomeka, "MAKAMBA ANATAKA KUMUUA MAMA...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SALAAMZZZZ FROM ANKAL KAMU IN NAKURU: WEDDING OR EDUCATION? ANKAL Issa Mhiddin Michuzi I am sorry that, i have been unable to communicate with you on a timely manner. have been on a project in...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Belgian Catholic offices raided in sex abuse probe Page last updated at 16:23 GMT, Thursday, 24 June 2010 17:23 UK Officials said they were searching for evidence of possible abuse Belgian...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakika kwa waliomuona Meya Salum Londa alipohojiwa kuhusu wizi wa viwanja moja kwa moja mwenye macho unajua huyu bwana anafwata.. Hatimaye polisi wameendelea kumhoji Meya Londa kwa kushiriki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Or an we call it the The theory of the political behaviour of tanzanians.For sure an objective measurable theory can be found that may explain our behaviour.WE are so differant from other peoples...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MILANGO ya kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano na ule wa Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefunguliwa katikati ya mazingira magumu ya maisha ya wananchi wengi. Hadi juzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi karibuni kuna mwanamke mmoja Mkoani Ruvuma alijitokeza mbele ya kituo cha terevisheni cha TBC1 na kusema (kwa uhakika) kuwa amekuwa akitokewa na mwalimu Nyerere na kupewa maagizo ampelekee...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwalimu alikuwa mfano mzuri wa kujimiliki nafsi kwa binadamu. Alipotukanwa,hakutukana,alipoteseka,hakuzungumza lugha ya vitisho dhidi ya waliomtesa,alipofanyiwa udhalimu na adui zake,yeye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NIMEKUWA NIKISIKLIZA BUNGE LA TANZANIA,KWELI NI KICHEFUCHEFU KILA MBUNGE ANAYECHANGIA LAZIMA ATANGAZE NIA Utasikia nami natangaza nia.SASA SIE TUSIO WABUNGE NIA TUTANGAZA WAPI? MSINGI NI KUCHANGIA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa kwa wale mlio ewura na kwingineko najua mnajua kuna baadhi ya vituo vya mafuta waaminifu awachanganyi na mafuta ya taa kwa msaada wa watanzania tunaomba mtuwekee wazi vipi visivyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa kwa mlioshiriki kumuona jana mkurugenzi wa ewura kwa masikitiko napenda kusema ewura wanachangia kiasi kikubwa kushiriki kucheketua mafuta ya magari kwa masikitiko makubwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom