Wakuu hii nimeipata kwenye comments za Caroline, ktk gazeti la Mwananchi la leo 1julai 10,topic husika ''Ajira sasa wazi EAC'' nanukuu:
"Watanzania wote shikeni kalamu muandike maneno...
Ukitaka kuumiza kichwa na nchi hii basi fuatilia siasa,
mimi nashindwa kuelewa kuchukua fomu ya kugombea uraisi ni sherehe na bendi zinakodishwa,na kurudisha pia ni sherehe,jamani ama ndio...
Wapendwa
polen na mihangaiko ya kila siku...kwa kweli nimeona tuabarishne kidogo\kuna haya mataa ya tazara kwa kweli yamegeuka balaa la wauwaj...mabwana hawa wanafanya wanavyotaka na wakikamatwa...
THERE are many Zanzibaris who are illiterare, it was revealed here on Saturday.
The Zanzibar Minister for Education and Vocational Training, Mr Haroun Ali Suleiman, said here on Saturday that...
Friday, June 25
Nicolas Cocaign, who was accused of torture or barbaric acts and murder preceded, accompanied or followed by another crime, will have to serve at least 20 years of...
Ndugu wapenzi wana JF, leo napenda tujadili suala la Mkapa na Kikwete katika awamu zao.
Binafsi huwa nakaa na kujiuliza hivi ni kitu gani ambacho Kikwete amekaa ikulu na kukifanya, nakosa jibu...
Kumekuwepo na malalamiko kuwa Nyuki (Honey bees) wamekuwa wanapungua kwa kasi. Wanasayansi, wamegundua kuwa mionzi ya simu ya mkononi ni moja ya sababu kubwa ya kuingilia mawasiliano ya nyuki hasa...
Mwaka jana tulipata usumbufu sana baada ya mabenki kuto funguliwa kutokana na hii siku yao ya kufanya mahesabu yao ya mwaka.
Tujihadhari, hamna taarifa rasmi zenye kutuelekeza tufanye nini.
Wenye...
The Minister of State, Foreign and Commonwealth Office (Lord Malloch-Brown): My right honourable friend the Secretary of State for Foreign and Commonwealth Affairs (David Miliband) has made the...
Nimetumiwa text msg kuwa kuna ndege imeanguka punde na kugonga gari eneo la segera na barabara imefungwa. Wadau mnaombwa kufuatilia news hii
======
UPDATE:
It's confirmed, ndege imeanguka eneo...
Habari wadau wa JF, naomba kufahamu ukweli juu ya kifo cha huyu jamaa aliyechota mabilion ya shilingi pale BoT, Mheshimiwa sana Balali hivi ni kweli alifariki au ni danganya toto? Nimediriki...
Kutoka kwa Michuzi.
HABARI ZIMETUFIKIA SASA HIVI ZINASEMA KUNA AJALI YA MAJINI IMETOKEA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM KARIBU NA FERI AMBAPO INASEMEKANA BOTI YA ABIRIA IENDAYO KASI IMEGONGA...
Meno ya Tembo yakiwa yamehifadhiwa
Na mwandishi wetu, DodomaMAZUNGUMZO ya kidiplomasia kati ya Tanzania na nchi jirani za Kenya na Uganda yamefanyika, ili kuzifanya nchi hizo zisiweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.